Eti "Mtoto wa Rugemalira (Escrow) akila Bata na Rihanna"

Hiyo nyonyo ya kulia (kushoto kwa Rihana) hapo niaje...mbona kaa inataka kutoka vile.....

Kumbe na wewe umeiona.

Inatafuta mtukutu wa kuirudisha ndani ya blauzi...

Sioni uspecial wake kwakwel kimapenzi.tan mwanamke kila MTU anamtolea macho na kusuguliwa yan Hugo hana jipya kimapenzi.always nitabak na black beauty wangu

Hafu huyu so mtoto Wa rugemalila ni mume Wa yule jesca mtoto Wa rugemalila.kupotosha sio kuzur
 
Dogo bilionea huyo akose bilioni tatu au mbili na nusu na yuko na mjengo wa kufa mtu hapa Swiss

swissme:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…