Happycuit
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 646
- 542
Mtaota sana.
hujajifungua tu?
Mtaota sana.
Hiyo ni kauli ya dada mmoja hivi jirani yangu niliyemsikia akiongea kwenye simu!
Na huyo wa 'nyumbani' si mwingine bali ni yule mgombea urais kupitia CCM.
Huyu mdada anatokea huko kanda ya ziwa. Pia, jana niliongea na mtu wangu wa karibu aliyeko pande za Simiyu huko na akanambia kuwa mwelekeo wa watu wengi huko ni kumpigia kura mgombea wa CCM kwa kutumia hiyo sababu ya wa 'nyumbani'.
Sasa mimi sielewi kabisa.
Hivi ina maana rais akiwa ni wa 'nyumbani' ndo shida za watu wa 'nyumbani' zitaisha au?
Kama hazitaisha, kuna nini kingine katika kumpigia kura huyo mtu wa 'nyumbani'?
Unashangaa mpe wa nyumbani wakati Lowassa anasema walutheri wampe kura kwa kuwa yeye ni mlutheri.
Hilo halikupi shida?
kunya anye kuku, akinya bata kaharisha
Unataka maajabu gani zaidi ya haya ili uamini kuwa hafai? https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/927571-maajabu-hata-malaika-amkataa-lowassa.html
Watanzania wameambia CCM ni kama nyoka wa shaba Jangwani wakati wana Israel wanatoka Misri!Na Je akija na agenda mbovu na ambazo hazita leta maendeleo yeyote kwao Je bado watampigia kura?