Eti maua muachie nyuki……

Eti maua muachie nyuki……

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Sema tena na hapa
 

Attachments

  • 1423850961164.jpg
    1423850961164.jpg
    34.7 KB · Views: 844
Ngoja nimpelekee lara 1 wangu..

Yaani nachungulia dirishani kama huna kibox, nakutext baby nimepata dharuraaaaa, nimenda hospitali one time, huwezi kuniharibia valentine yangu kizembeee. Baadae nipost nini insta!???? Alaaaaa!
 
Yaani nachungulia dirishani kama huna kibox, nakutext baby nimepata dharuraaaaa, nimenda hospitali one time, huwezi kuniharibia valentine yangu kizembeee. Baadae nipost nini insta!???? Alaaaaa!

ha ha ha haha
 
Hiyo ndo dawa haswaa ya mapenzi na huyo mpezi ataoba kila siku mpelekee na ukikosa basi kanuna utasema mkate wa mofa
 
Back
Top Bottom