Eti kweli huyu anafaa?

kuolewa aolewe mwingine..kuumia waumie wengine!acha roho ya kichawi Irene.
 
Kwanza kabisa nitoe pongezi za dhati kwa mheshimiwa rais kwa kutuletea mtandao huu wa Jamiiforum hakika JPM ni jembe chumaa, jiwe, mwambaa (samahani nimeangalia taarifa ya habari ya ITV leo kuna daraja sijui Tanga kwa Godwin Gondwe sijui sasa kila mtu anasema pengezi ziende kwa rais nikasema sasa imekuwa too much hata kama ni sifa imeanza kuboa aiseee!

Wacha niende kwenye mada, kuna mkaka anataka kuoa mdogo wa rafiki yangu, bado haja jitambulisha lakini ila tatizo rafiki yangu anadai hamuelewi elewi huyo shemeji yake mtarajiwa (ila hajawahi kumuona)

Kinieleza vitu vingi ila hiki imebidi nikishee kwenu

Kiufupi mwandiko wake haueleweki aisee nimesoma text za chats zake nikachoka mno zipo kama hivi
"uxiconde xhem 2po pa1" hii ni moja ya text yake huyu kweli anajielewa jamani anafaa kuoa mdogo wetu huyu?

Hamna kitu hapo

Piga chini
 
Kuna siku nimekutana na mtoto mkali, nikasema hem nione kama shetani atapita na mimi, text ya kwanza nasoma, "xo uxhafka om, unafnya nn nw", nikajisemea ni heri nibaki nilivyo
 
Kuna siku nimekutana na mtoto mkali, nikasema hem nione kama shetani atapita na mimi, text ya kwanza nasoma, "xo uxhafka om, unafnya nn nw", nikajisemea ni heri nibaki nilivyo
Ha ha ha! Duh!
 
Labda mke wa tano..! Na hapo ukute ulipo ata wakuzugia huna..!
Yaani unamaanisha kuna mwanamke hana mtu au?, kwa taarifa yako wanaume wasio na wapenzi ni wengi sana ndio maana mwehu wa kike anazaa ila mwehu wa kiume labda iwe ni kishirikina

Wanaume wengi tu wanaobaka ila umesikia lini mwanamke kabaka? Wee endelea kuamini kuwa kuna wanawake wapo single kwa kukosa waume
 
Kiukweli mimi sijaolewa na sijutii kwa nini sijaolewa maana maisha yanaenda japo nina mchumba lakini
Bila kuolewa maisha hayaendi labda kama haujui maana ya maisha kwenda, hii ni sawa na maskini na tajiri,maskin akamwambia tajiri hata nisipotajirika maisha yanaenda kama wewe.
 
Mwisho wa siku ni mdogo wenu ndio mwenye maamuzi ya mwisho binafs labda niulize wana umri gani?
Kwanza nianze na pongezi kwa daraja kutengewa fungu. Dogo aoe muongeze tegemezi hapo kwenye familia. Kuna jamaa alikuja kuoa kwetu design hiyo full Marioo daily yupo ukweni
 
Ndoa ni zaidi ya mwandiko lakini mtu anayeandika hivyo hata urafiki nae sitaki
@Khantwe

Matatizo ya wanawake walocheza mdako, rede, kujificha, baba na mama. Shuleni walikwenda na mifuko ya rambo, viatu wameanza kuvaa kila siku walipokuwa sekondari. Ila kwa vijana wa dot.com wanaelewana uzuri kabisa.

Karibu kwangu mjuvi wa lugha

Bazazi
 
Hapo hakuna mtu. Ila ksbb wanaume wamepungua na wanaendelea kupungua,mtupieni tu huko huko,eeeh...! Maana hakuna namna sasa
 
Ingieni chimbo mpeleleze tabia za huyo shemeji yenu.Mwandiko pekee hautoshi kuthibitisha mnachokiwaza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom