Wapo vbonge wabinafsi hatareee sanaWana roho mbaya!,..ila ni tabia ya MTU,mi nilikutana mabonge wengi ni wabinafsi,wakatili,wachoyo..ila c wote
Hahahahahaha!Mwanamke mwembamba akisimama ukutani utasema kreki , siwataki!
Mwanamke mwembamba akisimama ukutani utasema kreki , siwataki!
Moyo upo karibu na mifupa hata upepo ukivuma na moyo unaumia. Jambo hili husababisha kununa muda wote.
Mtera bwawa au kisima?Nasikia huwa wana mtera tu
Acha roho mbay wewe.Moyo upo karibu na mifupa hata upepo ukivuma na moyo unaumia. Jambo hili husababisha kununa muda wote.