Eti kujiua kisa umeachwa au umetendwa.....!!?

Eti kujiua kisa umeachwa au umetendwa.....!!?

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,756
Reaction score
2,309
Mimi huwa nawaza mambo kwa kina na majibu huwa sipati kabisa!

Mawazo ya kujitoa uhai ukiwa umeachwa hayo ndo mapenzi ya kweliiii au Uchizi huu jamani? Unawezaje kuwaza kufa kisa mpenzi kakuacha na wakati huo yeye hana hasara yoyote na anaponda raha na mtu mwingine? Nani aliyekwambia kwamba maisha bila yeye hayawezekani!

Mtu akizingua piga chini maisha yaendelee! Why uwaze kufa kisa yeye jamani... Mi nahisi sijawahi kupenda hivo na kamwe haitawahi kutokea hata kama huyo mpenzi angekuwa ananilipa na mshahara! Hasa kina dada why? akati Minjemba tupo kibao tu huku mtaani si utapata tu mwingine mtaependana!
NIMEANDIKA HUU UZI KWANI LEO NIMEPOKEA TAARIFA ZA MPWA WANGU KUNYWA SUMU KISA KAACHWA NA MPENZI WAKE japo hakufa mimi nimesema wangemuacha akafa kabisa...!
 
mie bwana mke.wangu akigegedwa na kidume mwengine kwanza nampofua macho alafu mie najipiga risasi
 
mie bwana mke.wangu akigegedwa na kidume mwengine kwanza nampofua macho alafu mie najipiga risasi
Uko hai mzee wa kugegeda? Hahahaaaaaaa! Na papuchi neno limeshika chati ile ile!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom