Eti kisa utelezi

Eti kisa utelezi

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450
Hatuwezi ,,Hatuwezi ,, Hatuwezi kuwa sawa na wanaume ..Leo mwanamke unamkuta kaajiriwa mwanaume anapambana anavojua yeye Lkn bado ile pesa ya mwanaume unaikodolea macho ...Kuna Wanawake tunawarudisha nyuma wanaume leo umeajiriwa pesa yako ni yako tu na ya mume ni yetu .. .. Wanawake haturidhiki hatutosheki milele kila kitu tutapewa Lkn bado tutataka tu ...Wanawake hatuna shukran jua ipo siku atakuacha vibaya kwa kujisahau kwako kisa Utelezi.
 
Back
Top Bottom