Eti kipimo cha usafi wa 'wakaka' ni singlet zao

kibavu

Senior Member
Oct 15, 2008
136
225
Leo nilimpa lifti jirani yangu wa kike alikua anakwenda saluni, sasa wakati namshusha nikasikia mazungumzo ya wale kina dada waliokuwapo pale saluni. Mmoja kaja na hii “....ukitaka kujua kama mkaka na msafi mwangalie singlet aliyovaa...” kwakua sikua na sehemu ya yale mazungumzo na nilikua mwanaume pekee pale sikutaka kusema chochote nikawasha gari na kuondoka zangu. Wanajamvi, what is ypur take on this?
 

Ye Soya

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
221
250
kama wakisema hicho ndio kigezo basi mm bf wangu anafeli maana mpaka naiogopaga kuigusa...ila upande wa boxer usipime anajitahidi...
 

MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,812
2,000
Mtu msafi muangalie nguo zake za ndani,maana utajua kuwa anajipenda hata kama nguo hizo zipo sehemu hazionekani hadharani, haijalishi mke au mume.
 

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
16,584
2,000
sasa kwa wale hambao hatuvai singlet na boxer utajuaje....maaan mie napenda dushelele langu lipate freedom of movement...likiwa ndani ya boxer lipo restricted bana
 

karembo

Senior Member
Nov 2, 2012
129
0
sasa kwa wale hambao hatuvai <font color="blue">singlet</font> na boxer utajuaje....maaan mie napenda dushelele langu lipate freedom of movement...likiwa ndani ya boxer lipo restricted bana
Hahahaaaaa.....utakua una ka dushelele kadogo ndo mana hakahitaji boxer.
 

prianka

JF-Expert Member
Aug 29, 2012
684
195
sasa kwa wale hambao hatuvai singlet na boxer utajuaje....maaan mie napenda dushelele langu lipate freedom of movement...likiwa ndani ya boxer lipo restricted bana
nina wasiwasi na hiyo dushelele yako au ni kadogo ka wahindi
 

MESTOD

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
4,787
2,000
Leo nilimpa lifti jirani yangu wa kike alikua anakwenda saluni, sasa wakati namshusha nikasikia mazungumzo ya wale kina dada waliokuwapo pale saluni. Mmoja kaja na hii "....ukitaka kujua kama mkaka na msafi mwangalie singlet aliyovaa..." kwakua sikua na sehemu ya yale mazungumzo na nilikua mwanaume pekee pale sikutaka kusema chochote nikawasha gari na kuondoka zangu. Wanajamvi, what is ypur take on this?

1. Hongera kwa kuwa na gari.
2.Hongera kwa kumpeleka jirani saloon.
3.Pole kwa wife maana jirani ndo analifaidi gari.
 

jb87

JF-Expert Member
Nov 23, 2012
241
500
usafi wa mwanaume ni viatu,ukitaka kujua mwanaume msafi anza kutazama viatu vyake,ukiona ni vichafu ujue huko ndani ndio hakufai kabisa
 

Mlasani

Senior Member
Nov 29, 2012
113
195
Mwanaume boxer, singlet na soksi!!!! kama vitu hivi ni visafi basi huyo ni msafi but ukiona soksi au kikwapa kinatema basi ujue kule ikulu ni nouma,................! jitahidini na usafi wazee.
 

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
16,584
2,000
nina wasiwasi na hiyo dushelele yako au ni kadogo ka wahindi

wewe mie kadushelele changu kweli kadogo....zigo la nini mpaka mwanamke anakukimbia. wewe mie cha msingi nikiingia kwenye K napata raha basi sitaki tabu. ukubwa au udogo hau-dtermine utamu utaopata.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom