Eti "Kibamia"

Eti "Kibamia"

IDEGENDA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
4,492
Reaction score
5,345
Habari wana JF,

Kuna story ya jamaa mmoja, ambae alikuwa na mchumba wake, siku chache kabla ya harusi yule mwanamke akaenda kwa jamaa wakavunja amri ya sita. Baada ya hapo yule mwanamke akabadilika, hataki tena kufunga ndoa, jamaa alipo muuliza kulikoni, alimjibu kwamba uume wako ni mdogo sana hivyo tukioana tutasumbuana, huo ndo ukawa mwisho wa mahusiano yao!

Siku moja nikawa napiga story na jamaa mmoja wa makamo kiasi nikawa namuuliza, kama hili tatizo la wanawake kulalamikia udogo wa size za dushe (vibamia) lilikuwepo toka zamani?

Yule jamaa alinijibu kwamba wanawake wa miaka ya nyuma na wasasa hivi ni tofauti, utofauti wake ni kwamba mademu wa sasa hivi wanagawa sana kiasi kwamba hadi anampata mtu wa kuishi nae kashapitia wanaume zaidi ya 10 tena za size tofauti, sas a unakuta wamemtanua kwa nini asije kukusumbua kwamba una kibamia?

Lakini mwanamke wa zamani, alikuwa anajitunza kiasi kwamba akija kuolewa huyo ndo anakuwa mme wake wa kwanza, na hukuti akilalamikia mambo ya kibamia, kwa sababu hajatanuliwa wala hanauzoefu wa dushe nyingine tofauti na ya mme wake!

Sasa kwa dada zangu wa siku hizi unakuta wanalalamika tuu pasipo kujua kama tatizo ni waao wenyewe.

We unaposema mtu ana uume mdogo kwa nini wewe usiseme una K kubwa?

Tena wanasema kwa mbwembwe kabisa, eti kibamia, unakuta mtu ameshapitiwa na magogo ya kila aina, usiseme kibamia, anza kwanza kujiita una K kubwa then kibamia baadae!

Ni maoni yangu tu..
 
Unajua kichwa cha mtoto size yake????

Na unajua kua k inarudi kama ilivyokua?

Achana na stori za vijiweni

Kuna wanaume waliokaliwa, wenye size ya kati na vibamia

Na kuna wanawake waliojaliwa, size ya kati na vibamia

Hakuna cha kulegeZwa na dushe wala nini
 
Hivi K ikinanihiwa sana na P kubwa huwa inapanuka eeeh...
 
Stori za watoto mpige mchana. Haya kakojoe ukalale, kesho shule
 
Unajua kichwa cha mtoto size yake????

Na unajua kua k inarudi kama ilivyokua?

Ni kweli kwamba baada ya mtoto kupita huwa inarudi lakini kamwe huwa hairudii hali yake ile ile ya kabla ya mtoto. Wazoefu wanalijua hilo.

Tena basi kama wamepita watoto kadhaa ndo kabisa, huwa hairudii hali ya pre-mtoto.
 
Habari wana JF,
Kuna story ya jamaa mmoja, ambae alikuwa na mchumba wake, siku chache kabla ya harusi yule mwanamke akaenda kwa jamaa wakavunja amri ya sita. Baada ya hapo yule mwanamke akabadilika, hataki tena kufunga ndoa, jamaa alipo muuliza kulikoni, alimjibu kwamba uume wako ni mdogo sana hivyo tukioana tutasumbuana, huo ndo ukawa mwisho wa mahusiano yao!
Siku moja nikawa napiga story na jamaa mmoja wa makamo kiasi nikawa namuuliza, kama hili tatizo la wanawake kulalamikia udogo wa size za dushe (vibamia) lilikuwepo toka zamani?
Yule jamaa alinijibu kwamba wanawake wa miaka ya nyuma na wasasa hivi ni tofauti, utofauti wake ni kwamba mademu wa sasa hivi wanagawa sana kiasi kwamba hadi anampata mtu wa kuishi nae kashapitia wanaume zaidi ya 10 tena za size tofauti, sas a unakuta wamemtanua kwa nini asije kukusumbua kwamba una kibamia?
Lakini mwanamke wa zamani, alikuwa anajitunza kiasi kwamba akija kuolewa huyo ndo anakuwa mme wake wa kwanza, na hukuti akilalamikia mambo ya kibamia, kwa sababu hajatanuliwa wala hanauzoefu wa dushe nyingine tofauti na ya mme wake!
Sasa kwa dada zangu wa siku hizi unakuta wanalalamika tuu pasipo kujua kama tatizo ni waao wenyewe. We unaposema mtu ana uume mdogo kwa nini wewe usiseme una K kubwa? Tena wanasema kwa mbwembwe kabisa, eti kibamia, unakuta mtu ameshapitiwa na magogo ya kila aina, usiseme kibamia, anza kwanza kujiita una K kubwa then kibamia baadae!
Ni maoni yangu tu..
Haya bhana me napita tu mda c mrefu wenyewe waja...!!!!
 
Suala la k kuwa ina resemble elastic materials haimaanishi Kwamba ndio haiwi na mabadiliko ambayo ni significant baada ya kupitiwa sana.

Fanya hivi. Pitia mabinti kadhaa ambao bado hawajatmika sana, say, kapita mtu mmoja or wawili tena sio sana, kama mara mbili tatu hivi. Or toa bikra mwenyewe kabisa.

Then Pitia mabinti kadhaa waliotmika sana hata kama hawajazaa na tatu Pitia akina Dada waliozaa or akina mama kadhaa. Karesearch hako kadogo katakpa majib sahihi kabisa.

Experience yangu basing on that facts inasema Kwamba, size ya hole ya mwanamke ni Function ya idadi or namba ya kuwa screwed.
 
mmmmhhhhh chezea style hafifu lazima ulaumiwe tu..
 
Kama K ikitanuliwa haijirudi basi wanawake wote wakizaa mtoto wa kwanza tu basi ingekuwa ndio mwisho wa raha ya sex bila kujali ni wa sasa au zamani. Hizo za kutanuka K kwa sababu ya wanaume wengi kupitia ni story tu za vijiweni sio uhalisia.
 
tutaliongeza kwenye katiba mpya.
haki ya wenye vibamia
 
542280_269083626535292_1763545302_n.jpg
 
Mie cjawah kukutana na kibamia,wsh one day nkutane naye nione wanakuaje!
 
Suala la k kuwa ina resemble elastic materials haimaanishi Kwamba ndio haiwi na mabadiliko ambayo ni significant baada ya kupitiwa sana.

Fanya hivi. Pitia mabinti kadhaa ambao bado hawajatmika sana, say, kapita mtu mmoja or wawili tena sio sana, kama mara mbili tatu hivi. Or toa bikra mwenyewe kabisa.

Then Pitia mabinti kadhaa waliotmika sana hata kama hawajazaa na tatu Pitia akina Dada waliozaa or akina mama kadhaa. Karesearch hako kadogo katakpa majib sahihi kabisa.

Experience yangu basing on that facts inasema Kwamba, size ya hole ya mwanamke ni Function ya idadi or namba ya kuwa screwed.
Akimaliza hiyo research ana STD
 
K ni elastic hata ukitanua vipi inasinyaa na kurudi normal. lakini vibamia vipo na vitaendelea kuwepo tu!
 
hayo yalikuwepo tangu zamani, sema wale wazee walikuwa wanavumilia na wasiri sana. Ila michepuko na kuchepuka kulikuwepo na kama hyo ilikuwepo lazma basi ujue kuhusu vibamia sema walikuwa wanaficha sana, zamani waweza kulea mtoto si wako na ukavumilia tu
 
Jmn naomba usijidanganye eti watu wa zmn walikua wastaarabu hakuna kitu km hiyo. Vizee hivi vilikuwa ni hatari hamna mfano. Kilichokuwa kinawasaidia magonjwa ya hatar hayakuwepo, lkn pia mambo km DNA pia yalikuwa bado, lkn nakwambia asilimia kubwa ndoa nying zilikuwa zinachapiwa vl tu vitu vya kucollect data km sasaivi sisi havikuwepo. Otherwise hakuna cha wazee wa zmn wala nini.
 
Back
Top Bottom