jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,980
- 4,284
Kipindi cha zamani Vibamia vilikuwa vinapatiwa ufumbuzi jandoni kwa wazee kuwachanjia dawa wale wote wenye vibamia. Siku hizi vijana mnatahiriwa zahanati na wala hakuna anayejali juu ya uhusiano kati ya jinsia yako, maumbile sahihi na tendo la ndoa.Vijana hawapati elimu mahsusi juu ya haya mambo. Ukubwa wa uume unatofautiana lakini tofauti haipaswi kuwa kubwa kwa viwango vya sasa. Madaktari tunafahamu hili maana kuna wakati unamfanyia uchunguzi mwananume mpaka unasikitika maana uume ni mdogo kama kidole cha mwisho cha mkono.
Ukiwa na standard size/normal size 6inches hakuna mwanamke atakayesema kuwa una kibamia, ila vijana wengi sasa hivi miili mikubwa lakini zana ya kazi ni ndogo ajabu.
Kwa maumbile hayo madogo usitegemee kuwa na mahusiano yaliyo na raha. Tendo toshelevu la ndoa ni muhimu sana kwa mwanamke ili kumpatia utulivu wa akili na furaha.
Hata uwe na manjonjo vipi bado size ya uume ina nafasi yake.
Note: Simaanishi uwe na uume mkubwa sana maana hilo nalo ni tatizo sawa na kuwa na uume mdogo, unapaswa kuwa na size toshelevu mwenzi wako. Walau unapoingiza uume wako kwenye uke uguse maeneo yote ya uke na sio kuelea kama samaki.
Uume haukuwekwa ili ukaelee kwenye uke bali uguse na kusugua kuta za uke maana huko ndiko hisia zilipo wakati wa tendo la ndoa.
Watimizieni wenzi wenu mahitaji yao yote na kisha mfurahie zawadi ya tendo la ndoa.