Eti katafute fimbo uje hapa!

Eti katafute fimbo uje hapa!

TimeBomb

Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
89
Reaction score
39
Enzi za 90's ilikuwa ukiharibu utasikia mshua anang'aka nenda kalete fimbooo hapa na kweli unaenda unaisaka huku chozi linakutoka na kujitilisha huruma unaipeleka na unatandikwa balaa..ila Kizazi hiki cha leo ukitoa hiyo amri utaenda kutangaza upotevu wa mtoto kwenye JIJI LETU saa 12...Kizazi Cha Nyoka!
 
Hahaa umenikumbusha mbali mkuu. Ukipewa chance kama hiyo unatafuta fimbo lakini so kubwa saana nyembamba iv ambayo inawai kukatika. Ila ukileta ya ovyo sana anatumwa mdog ako sasa. Shangaa ilo rungu linalokuja.
 
Anayetumwa alete fimbo kwa ajili yako anaambiwa ukileta ya hovyo namwacha nakuchapa wewe
 
Mi ningepewa chance ya kumtandika mwalimu wangu wa physics. Ningemchapa hadi kojoe.
 
siku moja nikatumwa fimbo, jamaa angu akanambia hesabu mawe kumi na mbili weka mlangoni mshua akiruka tu hupigwi, kweli nikafanya na mshua akaruka. ndipo na mimi nikanyanyuka kwa kujiamini nikaenda kutafuta fimbo ya maana nikijua mawe yatafanya kazi. kilochotokea..... sikwambii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom