Eti kama kifungo cha suti

functional

JF-Expert Member
Sep 13, 2018
732
774
Eti kama kifungo cha suti
FB_IMG_15725402737709110.jpeg
 
Usikae mbele ya huyo mtu mana hiko kifungo kikifyetuka hapo kinaweza kukupasua jicho.
 
Kamaanisha 'uvumilivu' maana kiukhalisia hicho kifungo kinavumilia mno kuwa hapo kilipo.!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom