Eti kama hijasoma tuition na unaenda government physics itakusumbua

Samwel0759

Member
May 27, 2013
19
11
Naomben ushauri wenu kama kuna uwezekano mkubwa wa kufeli kama hujasoma tuition na unchukua pcb au pcm
 
Nikujpanga 2 kuna miez mingi hta mwez wa kumi na mbili unaweza kusoma na ukiwa peace na watu hata uko uko shule watakufundisha
 
Inategemea na shule na uwezo wako wa kujichanganya na watu.Nimeenda Tabora Boys sijasoma chochote kwenye physics lakini believe me nilicover topics zote shuleni na nimetoka fresh necta
 
ondoa shaka, mbona mateacher wao kwaajili yako.


sema2 kama hujasoma inamanisha ukifika school kwenye prepo utakua unasinzia2 kwa maana huna cha kusoma.
 
Ofcoz ushafnya kosa kubwa kuend gvment af ujapga pndi...bt stil u can do best kama ukzngatia hay....jenga urafk na wenzko...pga misul ya kutosh...watkuj walmu wa 2shen jarb kuhudhria
 
Kama o-level physics ulikuwa shallow utapata tabu sana. Bado una muda ila inabidi utumike effectively. Make sure unacooperate na wenzako, topic kama mechanics wanakukatia. Maana physics kuna kulishwa concept, kwenda kucover na kusolve problems. Inabidi ucheze na muda sana.
 
Naomben ushauri wenu kama kuna uwezekano mkubwa wa kufeli kama hujasoma tuition na unchukua pcb au pcm

kama unaenda Minaki maisha ni mazuri sana coz kuna walimu wa kutosha pale. mie nina mdogo wangu anaingia form six pale na anasema pako pouwa.
 
Back
Top Bottom