Eti kakiivi hii ni kwel jaman | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti kakiivi hii ni kwel jaman

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MUREFU, May 21, 2011.

 1. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Habare wanathnker! Ninaomba mnisaidie na kama kunawanasayansi wanielimishe kwanini KISAMVU HAKIIVI KIKIKATWA KATWA KAMA KABICHI MPAKA KITWANGWE (hata ukitumia kuni meli 20)eti wanajamii inakuwaje hapo. Na je ni kisamvu tuu au kunamboga nyingine ya namna hii?
   
Loading...