Eti JamiiForums ina-expire 2015?

Eti JamiiForums ina-expire 2015?

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,303
Wakuu katika kupitapita mtandaoni nikasoma info kuhusu JamiiForums kwamba expire date yake ni 2015.

Sasa nauliza ikiexpire ndio kwaheri moja kwa moja au kuna namna ya kuiactivate tena?
 
JF is omnipotence and abiding!!!! For all generations, past, present and future!!
 
NDIYO

Capture.PNG


kinacho expire ni domain name yaani jamiiforums.com
hii ni kawaida kwa kila domain kama facebook.com, google.com, yahoo.com n.k na kama iki expire una-renew kama wasipo renew itakuwa haipatikani lakini itakuwa imesetiwa kuji-renew automatic.

kwa maelezo zaidi fungua whoIS website yoyote kama vile Whois.com - Domain Names & Identity for Everyone halafu weka website yoyote utapata taarifa zake zote.
 
kama nyasiro alivyosema domain ndo ina expire ila admin atarenew
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom