Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,307
- 40,941
Si wenyewe tunaangalia. Mtu mwenyewe unatabasamu kwa bahati mbaya, tushughulike na wewe wa nini, kwa mfano!!!Kwanza mtu wa kuthubutu hata kunimwagia kikombe cha maji anatoka wapi kwa mfano sitaki mazoea ya kijinga mimi
Si wenyewe tunaangalia. Mtu mwenyewe unatabasamu kwa bahati mbaya, tushughulike na wewe wa nini, kwa mfano!!!
Hiyo avatar yako ni zaidi ya mtego wa kumkamatia chui!Huu upuuzi unazidi kushika kasi ndio maana mimi sinaga birthday
@bullar sio September 14 kweli? Kumbukumbu yangu ni kwamba nimewahi kukumwagia tarehe kama hiyo.Huu upuuzi unazidi kushika kasi ndio maana mimi sinaga birthday
Mkuu avatar inashawishi kutoka nje ya mada hakika.Hiyo avatar yako ni zaidi ya mtego wa kumkamatia chui!
Nikweli mkuu!Mkuu avatar inashawishi kutoka nje ya mada hakika.
Sasa wewe bibi nani ahangaike na wewe? Watakutegua kiuno tu buree!!Kwanza mtu wa kuthubutu hata kunimwagia kikombe cha maji anatoka wapi kwa mfano sitaki mazoea ya kijinga mimi