Kina kova nao wameonja hela ya escrow kumbe,naona anawapa zawadi.
Hii nchi ni kituko kweli mpk roho inauma. Hili lijizi limetoatoa viji misaada sehemu kadhaa serikalini na limekuwa likiabudiwa huko kama hii picha inavyojieleza. Kwa kujua ama kwa kutojua hii pesa ni sehemu ya pesa yetu halali kbs but bado tunawaramba miguu hawa wezi.
Hivi ni sahihi kweli kusema kwamba hii nchi bado in "Usalama wa Taifa"?