Eti huyu ndiye mmiliki wa pap?

Eti huyu ndiye mmiliki wa pap?

Dr Ngoffi

Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
58
Reaction score
5
Wana JF picha ya mtu huyu mwenye asili ya kiasia imekuwa ikisambaa katika mitandao ya kijamii....je ni kweli huyo ndio mmiliki wa PAP....
 

Attachments

  • 1417019963807.jpg
    1417019963807.jpg
    30.5 KB · Views: 1,602
  • 1417020139213.jpg
    1417020139213.jpg
    124.3 KB · Views: 1,440
Wana JF picha ya mtu huyu mwenye asili ya kiasia imekuwa ikisambaa katika mitandao ya kijamii....je ni kweli huyo ndio mmiliki wa PAP....
Harbinder Sigh Seth, ndiye yeye (kimagumashi)
 
Yaani huyu, kama yupo nchini, wakachukue passport yake na documents zake muhimu sasa hivi kabla hajakimbia nchi.
 
Kina kova nao wameonja hela ya escrow kumbe,naona anawapa zawadi.
 
Sijui huyu mhindi anamuonyesha nini huyu baba askofu.........
 

Attachments

  • 1417022647899.jpg
    1417022647899.jpg
    84.5 KB · Views: 852
Ametoka uhindini kuja kwenye shamba la bibi kuchuma!!system yote ipo mikononi mwake!!na alaaniwe kwa wizi...
 
Huyo kabacholi ni mmatumbi kweli? Amekwapua 306 bilioni kaisi chote hicho cha pesa zetu bila huruma!
 
Hii nchi tumefanywa wajinga. Mambo huanza zamani ila tunakuwa hatujafunuliwa tu
 
Back
Top Bottom