Eti hizi hela zimekamatwa wapi?

Dah! Kudadek!! ๐Ÿ˜‹Nikiupata mzigo kama huo, mara moja nastaafu hii kazi yangu ya ulinzi, na baada ya hapo, mimi ni kula tu kuku kwa mrija na watoto wazuri wote wa mjini!

Zikiisha, narudi tena lindoni. ๐Ÿ˜ซ
 
Sasa nikizipata hizi si nakuwa nakula elf 10 kila siku mpaka miaka 100 bado zipo tu.
Ukila elfu 10 kila siku ni sawa na 3,650,000 kwa siku 365 ambazo zinakamiliasha mwaka mmoja!

Ubaya ukiwa una hela ni kuwa kuna siku utataka ubadilishe milo utaenda kula zaidi ya elfu 10 hasa ukitaka kula kitimoto safi na bia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!!! Kimsingi ili ule vizuri bila kujinyima kila mwaka utatumia million walau 8 kulilisha tumbo tu!
 
hauta kimbilia kuoa mwanamke mwenye matako makubwa kweli ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hela hio lazma cha kwanza utachofikiria ni ndinga na malaya mwenye shepu kali๐Ÿ˜… hata wazo la kula hutakuwa nalo sababu hela ni tiba ya njaa!

Yani hata leo ukikutana na laki 5 ya ghafla ambayo haikuwa kwenye hesabu utajiskia kushiba mda wote๐Ÿ˜… unaweza ukanywa glass ya juisi tu ukalala usingizi mzuri tu.

Kosa hela sasa kmmmk dah! Hata ukila saa 12 still saa 2 usiku njaa itauma tena๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
na huyo mwanamke ata mfesa hela zote....aurudie u jobless ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ