Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,407
Demu wa hivyo piga chini fasta
Inawezekana jamaa alishaweka alama hapa ila wameachana kiurafiki... Pia yawezekana ni watu na mautani yao ya secreto diamoo....inasomeka hivi, '' Mambo totoo,siku hizi tunachuniana,i miss u though.
Hiyo kweli lazima uhisi vibaya
Aombe msamaha kwa kosa lipi?Hakuna kitu kizuri kama kujishusha, jamaa ajishushe aombe msamaha maisha yaendelee.
Usitamani kusema super dear... Sema tu...
Kweli mkuu
[emoji56][emoji3]
vitu vidogo vidogo vinapoteza muda na hela ilivyopotea sasa, mie nikajua Couple inauliza jinsi ya kutafuta mahela
HahahaHello wakuu!
Kuna kesi nimeletewa na couple flani niisuruhishe, nimeshndwa hata nianzie wapi,anyway issue nzima iko hipi,
Kuna jamaa angu ana mchumba ake wanaish nae tayari ingawa hawajafunga ndoa, Sasa huyo mchumba wake ni wale wanawake wenye wivu uchwara na wasiojiamini,
Yaani kila jamaa akitoka kazini lazima simu yake ipekuliwe, Sasa juzi kati jamaa alimtumia text manzi flani ambae ni workmate wake na ujumbe ulikua mfupi tu,kosa alilolifanya ni kumuita yule manzi totoo,
Sasa mchumba wake ameinasa hiyo text na umezuka ugomvi mkubwa sana, Mchumba wa jamaa anaclaim eti huyo aliyeitwa totoo lazima atakua ni mchepuko wa jamaa,
Kwahiyo binti kajinunisha toka majuzi na hatimaye faili la hiyo kesi limetua mezani kwangu, Nimemhoji mshtakiwa kuhusiana na hyo kesi amesema ni kweli alimtumia huyo binti hyo text lakini hakua na nia mbaya.
So wakuu, Nasolve vipi hii ngoma?