Hello wakuu!
Kuna kesi nimeletewa na couple flani niisuruhishe,nimeshndwa hata nianzie wapi,anyway issue nzima iko hipi,kuna jamaa angu ana mchumba ake wanaish nae tayari ingawa hawajafunga ndoa,asa huyo mchumba ake ni wale wanawake wenye wivu uchwara na wasiojiamini,yani kila jamaa akitoka kazini lazima simu yake ipekuliwe,asa juzi kati jamaa alimtumia text manzi flani ambae ni work mate wake,na ujumbe ulikua mfupi tu,kosa alilolifanya ni kumuita yule manzi totoo,sasa mchumba ake ameinasa hyo text na umezuka ugomvi mkubwa sana,mchumba wa jamaa anaclaim eti huyo aliyeitwa totoo lazima atakua ni mchepuko wa jamaa,so binti kajinunisha toka majuzi na hatimae faili la hiyo kesi limetua mezani kwangu,nimemhoji mshtakiwa kuhusiana na hyo kesi amesema ni kweli alimtumia huyo binti hyo text lakini hakua na nia mbaya.
So wakuu,nasolve vipi hii ngoma?