Eti hii ni kweli!!

mbatia mnzava

Member
Jul 1, 2011
27
3
eti wachaga Wamezoea pesa mpaka ukiwauliza saa badala ya kusema kamili wanasema kesh(mfano ukiwauliza ni saa ngapi, kama ni sasaba kamili wanasema sasaba kesh!!
 
Umekula au unaumwa njaa?hzo ni storry za vjiweni we unazileta house of great thinkers??lete mambo ya maana bana watu wajadili.
 
Jamaa wana JF hili ni jukwaa la utani sioni kama tatizo hapo kwa mtoa hii thread, mbona makabila mengi yanataniwa humu, au kwa sababu kawatania nyinyi wakimbizi (wachaga).
 
kuna mijitu haijui hata utan wakati wote serious ndo maana ushazeeka ilhali ndo kwanza 32 years @ baba collin
 
kuna mijitu haijui hata utan wakati wote serious ndo maana ushazeeka ilhali ndo kwanza 32 years @ baba collin
<br />
<br />
tehe tehe tehe tehe.....bwana mdogo we mganga nini?unatabiri mpka miaka ya watu.ha ha ha ha...nimekuona hapa kwenye luninga ya asili nitakushughulikia badae kwa dharau zako.
 
Baba collin wewe ndo unaumwa njaa!!..we huoni hili jukwaa lime be tittled kua ni utani?..masaburi yako!...
Umekula au unaumwa njaa?hzo ni storry za vjiweni we unazileta house of great thinkers??lete mambo ya maana bana watu wajadili.
<br />
<br />
 
Back
Top Bottom