Sema ndg yangu shukuru,nachukua fursa hii kukupa pole kwa mtihani uliokukumba kwa kweli ni jambo zito kwa maana ya kua,kupenda au kupendwa ni involuntary action ambayo huwez ielezea maana huwa inakuja tu from no where,any way ni daras refu kidogo,ngoja niingie ktk ushaur wangu,hizi hisia zipo' cha msingi ni kuamin kuwa yule ni msichana wa kawaida tu, na kuna wengi wazur kuliko yy na nakuamin haikuwa bahat yako,na jaribu kumuona utakaempata ya kua anamzid yule wa mwanzo, naamin baada ya muda hisia hizo zitaondoka,NOTE''wakat wa kuchagua wenzetu tuwe makin katika hili maana moyo ukivunjika huwa hauna spare parts'' huo ndo ushaur wanguNilikuwa na mpenzi wangu kipingi cha nyuma, na tulifikia kuamua kufunga ndoa na nilikuwa katika mipango ya kupeleka posa ila tuliachana kwa sababu fulani fulani, nilijaribu kuurudisha uhusianai karibu mara tatu, ila naona kama siwezi kuwa na huyu mtu tena ila tatizo ni kuwa kwa nini kila ninapopata rafiki mwingine tukiwa pamoja japo kwa mazungumzo tu huwa najiwa na mawazo sana juu ya huyu wa mwanzo na najikuta na-conclude kuwa huyu mtu "wa sasa" hanifai, na hii ni kama mara tatu inanitokea yaaani kwa watu watatu tofauti tofauti imenitokea; sasa ni kwa nini hii memory inatokea na mara nyingi huanza na jina lake kisha husema irreplaceable niambieni ninyi wata'alam wa huu ukumbi au mi bwege? then nifanyeje?
Sema ndg yangu shukuru,nachukua fursa hii kukupa pole kwa mtihani uliokukumba kwa kweli ni jambo zito kwa maana ya kua,kupenda au kupendwa ni involuntary action ambayo huwez ielezea maana huwa inakuja tu from no where,any way ni daras refu kidogo,ngoja niingie ktk ushaur wangu,hizi hisia zipo' cha msingi ni kuamin kuwa yule ni msichana wa kawaida tu, na kuna wengi wazur kuliko yy na nakuamin haikuwa bahat yako,na jaribu kumuona utakaempata ya kua anamzid yule wa mwanzo, naamin baada ya muda hisia hizo zitaondoka,NOTE''wakat wa kuchagua wenzetu tuwe makin katika hili maana moyo ukivunjika huwa hauna spare parts'' huo ndo ushaur wangu
Sioni tabu ukim-approach ili mradi asiwe demu wa mtu kama vile rafiki yako, au mke wa mtu. Si vizuri kumfuata mchumba wa mtu japo kuna mazingira ambapo hukatazwi.And please can you help me this one; is it possible and fair kumfuata mtu ambaye unaweza kuta labda ana mtu wake kisha kuamini kuwa utam-win, yaani unaweka maazimio kuwa whatever the case hata kama anaye mtu mimi sijui....... is it fair na je huyo mtu anaweza kuwa alikuwa wrong to her boy frend if she accept you au ni-coclude kuwa itakuwa ni kutupiana mpira unless mpaka nimpate mtu ambaye hana rafiki pasee? halafu naona kama muda unaenda mbio...... am 26 now!!!!
Naamini furaha ya maisha yangu huenda nilliona vibaya!!
Jaribu kuongea na mamako akueleze kinaga-ubaga kutopendezwa kwake na huyo binti. Naamini anazo sababu za msingi.1. Ni hivim kaka, sababu kuu hapo ni kama nilivyoeleza hapo juu ila pia kuna issue moja ambayo inanibidi niiweke wazi, kwa kifupi mama yangui naona kama hakufurahishwa na proposal ya kufunga ndoa na huyu binti, na kitu hicho huyu dada alikiona mwenyewe na kilimsononesha sana , sasa sijui ni sababu ya yeye kutokuwa serious tena au vipi!
Maendeleo vipi kuhusu post ya Haika, kuna chochote umejifunza?
Sioni tabu ukim-approach ili mradi asiwe demu wa mtu kama vile rafiki yako, au mke wa mtu. Si vizuri kumfuata mchumba wa mtu japo kuna mazingira ambapo hukatazwi.
Kuhusu fairness, sasa wewe mwenyewe ufanye tathmini kuangalia mazingira na sababu ya huyo binti kumwacha mpenzi wake kuja kwako.
Kama ameweza kumwacha mpenziwe kirahisi, baadae hatashindwa kukuacha wewe kirahisi sio?
Jaribu kuongea na mamako akueleze kinaga-ubaga kutopendezwa kwake na huyo binti. Naamini anazo sababu za msingi.
.
Thank sana brother, u r so mean 2 me.
Believe me, u give me some way to life......, pia nakutoa wasi wasi kuwa siwezi kumfuata mtu ambaye najua ana rafiki au mchumba au mume, this is not fair in any case!! let look for someone real new to my life. may be it will work
Lazydog "keep up men"
Pole sana Shukuru kwa yaliyokusibu na pia ni vyema ukashukuru kwa yaliyojitokeza.
Ushauri wa siku za usoni.
1. Usipeleke mahusiano ya mapenzi kwenye daraja lingine kama hali hiyo haijafikia. Maana yake ni kwamba anza kama casual friendship kwanza. From there utaona inavyodevelop na ni nini unaweza kukizingatia au huenda ndicho unachopenda/hitaji katika mahusiano na huyo binti anacho. inaweza akawa anamiss vitu vingi kweli from the outer appearence lakini unavyozidi kumuelewa au mnavyozidi kuelewana ndio unafahamu undani wake. Kwani ikija kwenye issue ya kuoa, kuna saa zingine sura na maumbile si lolote au chochote kama hayo yatakuwa chanzo cha wewe kukosa amani.
2. Wasichana wanaweza kuwa tricky subject saa zingine kwani wepesi kupata na kufuata ushauri na hasa ushauri potofu. Sisemi hii ndio hulka yao ila tu ni obserbvation yangu. So based on that, nenda taratibu, jua ni nani rafiki zake. Nini mtazamo wa familia yake. Anatoka mazingira gani na nini matarajio yake katika maisha iwe kwake yeye binafsi au akiwa na mwezi. Hayo hutoyajua ukianza na uchumba moja kwa moja.
3. Zamani ilikuwa rahisi kuanza na uchumba moja kwa moja kwani wazazi, ndugu, jamaa na jamii kwa ujumla ilishiriki katika kukusaidia kufikia uamuzi huo muhimu. Siku hizi ni tofauti. Kuna mengi tunayozingatia siku hizi hayakuwepo zamani. Hivyo wimbo utaimba mwenyewe na ngoma utacheza mwenyewe.
4. Yaliyokupata leo ni 1/100,000,000 ya mitahani ya mapenzi au ndoa utayokutana nayo, hivyo ni vizuri ukakaa mkao wa kujifunza kuhimili vishindo, kujifunza busara ya kutatua matatizo, uvumilivu, ikibidi kujisahau (kutokuwaselfish) na mengineyo.
5. Ni safari ndefu, lakini ukifanikiwa its worth your effort.
GOOD LUCK.
je umri unaweza kuwa tatizo? kwa sasa ana miaka 18.
This boy is still a 'boy'
Limbwata!!! the only place you can get help on this is Bwagamoyo!
we we acha .... utambebesha mzigo mtoto wa watu maana mwenzetu kapagawa si kidogo, yuko radhi akaachishe shule, fikiria akiwa mwanao je ... sincerely speaking this guy ni mharibifu .. jamani eeh tumpige vita ...
This innocent girl is about to become someones prisoner
I'm not following.
He is 26 and she is 18.
Speaking of age, hapa Shukuru utakua umekwenda kinyume na ile 'rule' wanayosema "Half your age PLUS seven". Would be nice if she was not less than 20 years old.
Kama sijakosea, China ukioa binti mwenye umri pungufu ya 20 ni kinyume cha sheria.
.