Eti hii namba ukipokea unakufa?

Eti hii namba ukipokea unakufa?

Kwanini ufe kwa kupokea namba....?
Mechanism ipi inafanyika mpaka ufe...?
 
aaaahhh embu ngoja niipigie hii namba halafu niiulize kama ikinipigia nikapokea nitakufa [emoji12]
 
Hii dunia tunaishi kwa kutishana sana aisee hasa ukiwa mbulula utatishwa sana bora ya vitisho vya mmarekani na mrusi
 
watu waliokufa wamekwambia wamekufa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom