Mitihani ya form four imeanza hebu kakariri notes kidogo sio utujazie thread za kitoto humuEti kuna namba 0228530469 eti akikupigia ukipokea unakufa : ni kweli?

Mkuu wamefufuka af wakakwambia au cjakupata vyema sentensi zako mkuu.Ni kweli kabisa, kuna watu wawili hapa mtaani wameniambia wamekufa baada ya kupokea hiyo namba. USIPOKEE
akifa mrejesho utafikaje?Jaribu kupokea halafu utupe mrejesho.