Tatizo ukilinganisha sana ndio unajikuta unaona nani ni best, mie piabut nionavyo mimi ni kuwa tumegawanyika
wapo ambao hawajui au tuseme hawana mahaba ya tamthilia za akina alejandro
,hasa wa mikoani na vijijini......na hapa namaanisha romance...na sio love.....
dunia imebadilika mno.....juzi hapa kuna thread ilianzishwa na afrodenzi kuhusu siku ya ku propose
nikajiuliza....am i old fashioned guy or what?
kwangu mimi ku kneel down na ku propose imekaa ki hollywood zaidi...
but wadada wa sasa wanataka hizo pia....go figure....
Tatizo ukilinganisha sana ndio unajikuta unaona nani ni best, mie pia
kuna mambo naona kabisa watu ni ya kuiga sana kama hilo la
kupiga magoti na kuomba mkono wa ndoa, ile ni mila yao, wanafata
na sie bila hata kuuliza ina maana gani utakuta jibaba la kibongo
eti nae anaiga hiyo, mie kwanza ukipiga tu goti natoka mbio, nitaona
aibu hata sielewi
Wanaume wetu wa kibongo wanajua sana mapenzi in their own way
kazi kwao wanaolinganisha na kina tom cruise
but nionavyo mimi ni kuwa tumegawanyika

BB, umegonga home kabisa....
Hivi kweli mtu ukilikuta jitu kama Babu DC limepiga magoti linaomba uchumba wa mke wa 4 au liko pale kwenye viwanja vya Posta ya zamani linampiga piga busu mke wake utaliewa kweli???
May be kama alivyosema Boss, tunasumbuliwa na hang-over ya maisya yetu ya 1947!!
au unaongea kwa sauti laaini huku mdomoni unatafuna ncha ya miwani
na mrembo anakutazama kwa tabasamu hivi lol
Ukifikia hapo itakuwa kasheshe...
Enzi zetu kijana wa namna hiyo alikuwa automatically anahesabiwa kuwa ni fungu la kukosa! Tulizoea kuwaona wachumba wakitafuna kucha au kuandika kwenye udongo maandishi ambayo hayasomeki.
Kumbe siku hizi vijana ndio wanafanya hivyo........???
Ngoja niishie hapo kwani ninaweza kutoa machozi nikipiga picha na kuwaona wajukuu zangu (boys) wanafanya upuuzi kama huo!!
Nilibahatika kuuona huu mjadala kupitia wanabidii.........it was hot. Watu wanajibu hoja kwa references jamani ah. kuna points zilizungumziwa kule nikabaki kumwomba mwenzi wangu abakie wa kibantu kama alivyo.
Kwani na ww unategwa?hapo naelezea ukweli, kwa mfano eti kuna rafiki yangu kaachana na bf wake, kisa anaona shida anapoongea kiswahili wakati wa majambo, nikamshangaa sana, mie napenda full kiswahili,wasichana tunatofautianawe mtoto umeandika pointi hapa
au ndo unanitega aisee lol
the boss naona una utani na wapemba wewe, hivi mkurya unaweza kumbebesha kikapu akakubali,zaidi ya kauli ya rara chini nikurenge mama wankuru,mura!mjone zilete hizo pointi hapa...tujadili
wadada siku hizi mnataka wanaume wa kuwanunulia maua.....
hiyo ndo romantic kwenu....
wakati sisi tumefundishwa na mababu na mababu kuwa romantic ni kubeba kikapu
na kupitia ferry na kukijaza samaki wa kutosha halafu huyo unaelekea kwa mwenzio na kiroba cha mchele pembeni....lol
kwa hiyo wakati wa ku do kingereza kwake ndio mshiko? huyo shost wako mjinga sana inaelekea ni tamthilia hizi za akina marichui na second chance zimemharibu,lol! mpe pole zake manake siku akikutana na ambaye mizuka ikimpanda anaomgea kilugha sijui atasema ana mashetani.Kwani na ww unategwa?hapo naelezea ukweli, kwa mfano eti kuna rafiki yangu kaachana na bf wake, kisa anaona shida anapoongea kiswahili wakati wa majambo, nikamshangaa sana, mie napenda full kiswahili,wasichana tunatofautiana
its complicated......
ukiwauliza wadada wa kenya na uganda watakwambia wanaume wa tanzania ndo best.....
Watu wanapenda mapenzi ya kuigiza sanaBB, umegonga home kabisa....
Hivi kweli mtu ukilikuta jitu kama Babu DC limepiga magoti linaomba uchumba wa mke wa 4 au liko pale kwenye viwanja vya Posta ya zamani linampiga piga busu mke wake utaliewa kweli???
May be kama alivyosema Boss, tunasumbuliwa na hang-over ya maisya yetu ya 1947!!
hiyo point ya tatu imesimama sana lizy for sure hamna kipimo universal na sijui kingekuwepo SI unit yake sijui ingeitwajeTatizo ni mtazamo.
Kila mtu ana mtazamo wake wa nini haswa ni romantic na mwanamke/mwanaume wa aina gani ni romantic. Kuna mtu mumewe kumpikia ni romantic na mwingine anaona kwa kufanya vile mumewe anajishusha. Kuna mwanaume mkewe kumpigia simu three times a day ni romantic na mwingine anaona ni pure usumbufu. Kwahiyo kwa vyovyote vile...kwa kutumia kipimo chochote kile hamna mtu ambae atakubalika na kila mtu (watu wenye background na mategemeo tofauti ) kwamba yeye ni romantic universally.
Kujibu maswali yako
1. Wanaume wa Tanzania ni romantic. Just not to everybody.
2.Kama sio kwa baadhi ya watu sioni kwanini kosa liwe la yeyote yule. Ni vizuri kila mtu akawa vile alivyo...wanaopenda his kind of romantice watakuwepo na ikitokea bahati nzuri akawa na mahusiano na mmoja wao hakutakua na malalamiko kati yao.Akikutana na ambae ni tofauti basi ni jukumu la huyo mwenza kumjulisha mwenzake kwamba ningependa kitu fulani na fulani ili nifurahi na iwapo hicho kitu kiko ndani ya uwezo na matakwa ya mwanaume basi kitafanyika.
3. Vigezo vinaofautiana kati ya mtu na mtu/sehemu na sehemu.Hamna kipimo ambacho ni universal amabcho majibu yake kila mtu atakubaliana nacho.