Eti hali mbaya!

Hiyo hali mbaya i-wapi?

Mfano,nipo hapa mahali fulani watu wanaendelea na agenda zao na mambo yao kama kawaida.Hawana habari za eti nchi ama umoja fulani umetoa tamko lolote!

Tusijidanganye humu Jf Watanzania wengi hawana habari kabisa na UPUUZI wowote unaopandikizwa na MAJUHA FULANI!

Na kwa yeyote anayejipatia matumaini eti ya wapi yatatukokea Watanzania,ANAJIDANGANYA!

Watz wa kweli anaendelea na majukumu yao ya kawaida na ya kila siku kwao. Uzushi na mabaya wamewaachia wataka madaraka kwa nguvu wahangaike nayo.

#Tz ni nchi huru.
Waulize Zimbabwe 🇿🇼
 
Mawazo ya makalioni!
 
Back
Top Bottom