Wakuu,mwenye taarifa atujuze zaidi.Nasikia kuna kikao kilichowahi kufanyika huko bagamoyo,hela zikachotwa kila wizara,zikaambiwa zipunguze budget,hazina ikakauka.Je ni kweli imeshalipwa?Kesi mahakamani ni geresha tu.Mwenye taarifa zaidi atujuze jamani