Eti dowans kumbe imeshalipwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti dowans kumbe imeshalipwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkombozi, Feb 7, 2011.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wakuu,mwenye taarifa atujuze zaidi.Nasikia kuna kikao kilichowahi kufanyika huko bagamoyo,hela zikachotwa kila wizara,zikaambiwa zipunguze budget,hazina ikakauka.Je ni kweli imeshalipwa?Kesi mahakamani ni geresha tu.Mwenye taarifa zaidi atujuze jamani
   
 2. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Nitarudi, kichwa kinauma
   
 3. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  yawezekana kuna ukweli fulani,
  kuna jamaa yangu, yupo wizara ya bwana KAWAMBWA, alinidokezea mwanzoni mwa wiki ya jana kuwa mambo hayaendi, hawapati 'per diem' zao, wamekatwa pia masurufu na safari za nje zimefutwa hadi itakapotangazwa. Waliambiwa pia fungu lao ktk hazina litokanalo na 'other charges' lilishafyekwa. Hali mbaya, wamebakia 'kujikunyata' tu.
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hivi huyu jk anafikiria nini kichwani mwake? rais asiye na nguvu dah wa tz tumekwisha
  e
   
 5. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  kuna uwezekano ikawa kweli, kwani hata wakilipwa mtajuaje? au wasipolipwa mtajuaje? ni nani anayekwenda kukagua na kuhakikishia umma kuwa hawajalipwa? inawezekan sana ikawa ni ukweli ndio maana mkwele alikaa kimya tu huku wakisema wataliipa..then mwisho anakana..huo ni uwongo mtupu
   
 6. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa vile walipaji ni serikali yenyewe na tayari wengi wao waliridhia malipo hayo, huenda ni kweli. Swali ni je ikithibitishwa na umma kuwa malipo tayari yameshafanywa tufanye nini?
   
 7. S

  Selungo JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Makato ya mishahara ya wafanyakazi wa serikali yasiyokuwa na maelezo sahihi kutoka hazina ulifikiri ni ya nini?
  Na bado ndugu yangu.
  Kuchagua sisisemu ni maafa. Q; dr. Slaa 2010
   
 8. M

  Mutakyamirwa JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 4,873
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Kumbuka hotuba ya JK ya mwaka mpya alivyotete kupanda kwa gharama za umeme wa Tanesco. Nafikiri pia walishaanza kulipana. wanauchumi wangetwambia pia kama uchapishaji wa noti mpya unaweza kuhusika na hili pia.
   
 9. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  it is very possible, wanasema kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji
   
 10. Gobegobe

  Gobegobe JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 245
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama kilivyo kitendawili cha kurejeshwa kwa fedha za EPA ndivyo ilivyo kwa malipo ya DOWANS wakilipa kimya kimya nani atajua? Yawezekana tayari.
   
 11. Mwendawazimu2

  Mwendawazimu2 Member

  #11
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anyway... Kama haya ndiyo yalikuwa matumizi ya hizo hela, then sioni tofauti sana na kulipa Dowans...
   
 12. u

  uzaa Member

  #12
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nguvu zipi? mguse uone,Rais hana nguvu? unachekeshe ndugu
   
Loading...