son of king john2
Senior Member
- Jan 11, 2014
- 131
- 33
kuipigia kelele ccm kuendelea kuwa madarakani mika mitano ni kujiandaa kulalamika malalamishi ya aina moja kwa miaka mingne mitano yaani
maji hamna.....
umeme hamna
mishahara haipandi
huduma za afya mbovu
shule hazina madawati
wasanii hatuna hati miliki
migomo ya wanavyuo....
kina mama kujifungulia chini
na mengne kama hayo
pole kama hujajiandaa kulalamika alafu unasema CCM mbele kwa mbele....
maji hamna.....
umeme hamna
mishahara haipandi
huduma za afya mbovu
shule hazina madawati
wasanii hatuna hati miliki
migomo ya wanavyuo....
kina mama kujifungulia chini
na mengne kama hayo
pole kama hujajiandaa kulalamika alafu unasema CCM mbele kwa mbele....