CCM walizuia shughuli za Siasa kwa miaka mitano kwa Vyama Vingine wakabaki wenyewe na hajaeleweka

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,888

Salaam Wakuu,

Uchaguzi wa Mwaka huu Mgumu sana. Japo Mijini Wanaona kama CCM watashinda Mapema. CCM wanategemea kura za Machinga kisa wameruhusiwa kufanya biashara Mitaani na katikati ya Miji hadi watembea kwa miguu wanakosa sehemu ya kupita. Lakini wamesahau Machinga hawajajiandikisha kupiga kura mwaka huu

CCM wameweza kufanya Siasa kwa Miaka mitano wakiwa wenyewe lakini mtaani bado kuna upinzani mkubwa dhidi ya yale yanayofanywa na Serikali ya CCM

Najiuliza, Je, Vyama vyote vya Siasa vingeingia Mtaani kwa miaka mitano mfululizo kutoa elimu ya uraia ingekuaje?

Nimeshangaa kuona bado kuna wanachama wa CCM wanahamia CUF, ACT na CHADEMA.

Serikali za Mitaa CCM walifanya Uchaguzi Wenyewe lakini maajabu si Mitaa yote inaongozwa na CCM.

Polisi wamatekeleza agizo la Serikali kuzia mikutano ya vyama vya siasa isipoukuwa CCM lakini bado CCM imeshindwa kuwashawishi Wananchi japo wamepewa Uwanja kwa miaka mitano.

CCM wamemezeshwa kwamba Wakatangaze Kazi nzuri iliyofanywa na Awamu ya tano, kwa miaka mitano yanaongelewa yaleyale usiku na mchana. Utaambiwa hivi;

1. Tumenunua ndege nane na nyingine 13 zipo njiani. Lakini Wanatumia Ndege za Rwanda kusafirisha Samaki wa Tanzania.

2. Tumejenga flyovers. Lakini madaraja mvua ikinyesha hayapitiki

3. Tumetumbua wenye vyeti feki na watumishi hewa. Lakini hawajesema mbadal wake. Lidandasi.

4. Tumejenga mabarabara kutoka Namtombo hadi Rusumo unatembea juu ya lamina unaweza kwenda kwa Bajaji. Lakini hawasemi tenda inapatikanaje na zitadumu kwa muda gani.

5. Elimu bure kuanzia shule za misingi. nk. Lakini Wazazi hawaoni tofauti na Shule binafsi

Haya Mambo haya msaidii Bibi yangu wa Nangurukuru au kule Itigi.

Ukitaka Upate misukosuko au ulale Korokoroni hata kupotea au kuokotwa kwenye Kiroba, jaribu kuuliza.

1. Kwanini hakuna ajira mpya? Utakamatwa eti umetukana.

2. Kwanini watu hawapati Mafao yao? Utakamatwa eti umechochea vurugu

3. Ukiuliza kwanini Wanaopelekwa Mahakamani ni Watu wanaodai Demokrasia. Au kwanini Lugola na Andengenye hawajapelekwa Mahakamani Japo TAKUKURU waliwatia hatiani na Jalada kupelekwa kwa DPP? Utakamatwa na kupewa kesi ya Uhujumu Uchumi.

4. Ukiuliza kwanini Wafanyakazi hawaongezewi Mishahara? Utaambiwa umetumwa na Mabeberu

5. Ukiuliza kwanini vyombo vyote vya habari vinavyoikosoa na kuirekebisha Serikali Vimefungiwa na Vingine vinataka kufungiwa? Utaambiwa ripoti kituo cha mbali cha Polisi kila Jumatatu, Jumatano na Ijumaa kwa miezi mitano. Kama unaishi Tegeta utaambiwa Uripoti Kigamboni kana Kwamba kituo cha Polisi Tegeta hakitambuliki.

5.Ukidai tume huru ya Uchaguzi au Katiba mpya Utaambiwa wewe si mtanzania na Utaitwa Uhamiaji kuhojiwa

6. Wanasema Kilimo ni uti wa Mgongo, lakini Ukiuliza kwanini Wizara ya Kilimo imetengewa Bil 137 za Maendeleo kati Til zaidi 30 za Bajeti? Utaambiwa Msaliti.

7. Ukiuliza alipo Ben Saanane au Azory Gwanda au Uchunguzi wa watu wanaopotea na kuokotwa kwenye Viroba tangu 2015, utaambiwa Hili swala Usihoji Polisi wanafanya Uchunguzi.

8. Ukiulizwa kwanini Mashekh wa Zanzibar wanashikiliwa kwa Ugaidi na hawahukumiwi? Unajibiwa ni Uchochezi. LOWASSA alihoji akaitwa Polisi Kuulizwa kwanini umehoji.

Ukweli ni Kwamba;

Hospitali nyingi hazina dawa, barabara hazipitiki hata zenye lami zinevimba kama matuta ya Viazi na ngingine Mashimo kama wanataka kupanda migomba. Mfano barabara ya Rusumo Rusahunga.

Mtaani wananchi wanakunywa chai bila Sukari sababu maisha Magumu.

Wenye hela zao wameacha biashara na kuhamia nchi za jirani sababu ya utitiri wa Kodi.

Vyombo vya habari vimebaki vinasifia na kuwapaka mafuta CCM kwa mgongo wa Chupa ili Wasifungiwe.

Hakika, Wakati wa kupiga kura, hakutakuwa na Vitisho. Kura Zitaibiwa za Wataka Maendeleo na zitakabaki.

Uchaguzi huu CCM Subirini Maumivu tu.

Mumeshindwa kushawishi Wananchi kwa mika mitano, mtaweza kwa miezi Miwili?

Wafuasi wa CCM hoja wanajibu kwa Matusi na maneno yasio na tija kwa taifa. CCM wajiandae kisaikolojia ili wasitie aibu Nchi. Nchi imejaa rushwa Ubadhilifu na Upendeleo

Nashauri, fanyeni Siasa zote, lakini hakikisha hamtugawi kama taifa. Hakikisha tunaendelea kuwa pamoja.

Safi sana mkuu, umeandika bila jazba na ujumbe umeeleweka vema. Hata wao CCM wanajua kuwa hawakubaliki ndio maana vitisho vimetawala. Yaani wakiona tu wapinzani wana kikao hata cha ndani wanaweweseka. Mfano jana kwa act-wazalendo.
 
View attachment 1487405

View attachment 1487406
View attachment 1487398
View attachment 1487396
View attachment 1487397
Utaona jinsi vijana wa CCM Mtandaoni watakavyokushambulia na kukuita unatumika
Yaani watadhihirisha ulichoandika

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom