Eti CCM 'B' Kumbe wenyewe ni CCM 'A'

Eti CCM 'B' Kumbe wenyewe ni CCM 'A'

Vijisenti

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
544
Reaction score
330
Ni watu wa ajabu sana hawa, kila siku walikuwa wanapiga
kelele Bungeni CCM B - kumbe wenyewe ni CCM A, yaani viongozi
wao kadi wanazo na wanazilipia bila kusahau kuwa wanahudhuria
Mikutano ya Chama inayofanyika usiku.

Tumewajua, watanzania musiwaamini hao ni CCM halisi.
 
Cdm siku zote wanafki, wazandiki,wafitini na waongo. na kwa bahati mbaya the cry at last!
 
Nape at work
Huo ndio ukweli mkuu lengo lao lilikuwa ni kuvunja
nguvu ya CUF, kwa kushirikiana na waandishi wa
habari CCM 'A' ikafanya kazi kubwa sana ya kukisambaratisha
chama hicho cha upinzani.

Duh, wabaya ninyi.... wabayaaaa.
 
Siku zote unafki na umbea haudumu sasa aibu imewageukia.Shame on you Slaa
 
Lakini nyie si mumeolewa! Nape amesema mtu yeyote anayemiliki kadi ya ccm akihamia chama cha upinzani uanachama wake unakufa.
 
Lakini nyie si mumeolewa! Nape amesema
mtu yeyote anayemiliki kadi ya ccm akihamia chama cha
upinzani uanachama wake unakufa.

Hao hawajahamia ni chui tu wanaongoza kundi la Mbuzi.
 
Acheni lopolopo yawezekana hata katiba ya ccm hamuijui juu ya ummiliki wa kadi someni msiwe wafupi kufikiri jamani!

Mnajadili umiliki wa kadi? Ndy matatizo tunayokumbana nayo?

Naumia sana kuendelea kuona watanzania wa sasa bado tuna akili sawa na mtanazania wa miaka 40 iliyopita?

Jadilini umasikini wettu jaman dah?

Kadii ndy tuijadili hapa???? Aibu
 
Tujadili umaskini wetu au utajiri wetu unaoliwa na CCM na
CCM 'A' ?
 
Siku zote unafki na umbea haudumu sasa aibu imewageukia.Shame on you Slaa
Watu wanamwangalia mamluki/mnafiki kwakujiuliza maswali haya:

1. Je Slaa anafanya kazi zenye maslahi kwa Chadema? Jibu ni ndiyo na ndio maana anaandamwa na CCM. Wenye akili nyepesi wanakubali upotoshaji huo ambao hata Nape anajua ni upotoshaji.

2. Je CCM wanafaidika chochote kisiasa kwa uwepo wa Slaa Chadema? Hapana, kwa kweli Slaa anaiumiza kichwa CCM, ndio maana siasa za maji taka haziishi.

Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako.
 
Ni watu wa ajabu sana hawa, kila siku walikuwa wanapiga
kelele Bungeni CCM B - kumbe wenyewe ni CCM A, yaani viongozi
wao kadi wanazo na wanazilipia bila kusahau kuwa wanahudhuria
Mikutano ya Chama inayofanyika usiku.

Tumewajua, watanzania musiwaamini hao ni CCM halisi.
MTAHANGAIKA SANA TU KWA KURUKIA KILA MTI , BUT AT THE END OF THE DAY HAMUWEZI KUPUNGUZA MAHABA YA WATANZANIA KUPATA MABADILKO. MLIANZA NA UKABILA NA UKANDA, MKAJA DINI, SASA AMEKUWA CCM!

SITASHANGAA SIKU TUKISIKIA HUMU KWAMBA SLAA NI MJAHIDINA NA AMETUMWA NA REDIO IMANI!haaaahaaah! TATIZO CCM NA CCM B (UHAMSHO) CHAMA CHA "WASWAHILI"ambao siku Zote maisha ni kucheza na maneno na vijimaneno! Ndio maana mkianzisha vijineno vyenu vya pilau, SLAA PAMOJA NA WAELEWA WENGINE HATUNA MUDA WAKUJIBIZANA!

SLAA ANAENDELEA KUCHAPA KAZI YA UKOMBOZI; NYINYI ENDELEENI NA CHEAP PROPAGANDA! KWA KUKUSAIDIA TU NI KWAMBA HALI YA CCM ITAZIDI KUWA MBAYA KADRI SIKU ZINAVYOKWENDA MBELE; NA ROHO YA KUTAKA MABADILIKO ITAZIDI KUTAMALAKI!

POLE SANA MKUU SIJUI KAMA MTAFANIKIWA NA HIZO SO CALLED CHEAP PROPAGANDA! NI VIZURI MKAMSHAURI BOSI ALIYEWATUMA KWAMBA MBADILISHE STAILI, HII WATZ WAMEISHTUKIA! UNAJUA NINI? BADILISHENI MAISHA YA WATANZANIA; ONDOENI UFISADI; TOENI FURSA SAWA NDANI YA CHAMA NA SI KUPENDELEA WATOTO WA VIGOGO;

KUWENI NA DIRA NA MENGINE MENGI: MKIYAFANYA HAYA NDIO YATAWAFANYA WATANZANIA WASIONE UMUHIMU WA SLAA NA WANAMAGEUZI WENGINE!OTHERWISE MTAMALIZA KEYBOARDS ZA COMPUTER KWA KUTAIP NONSENSE ; BUT YOU WILL NEVER EVER MEET YOUR GOAL OF DELETING SLAA AND OTHER PATRIOTIC LEADERS FROM PEOPLE'S thoughts !
 
Ni watu wa ajabu sana hawa, kila siku walikuwa wanapiga
kelele Bungeni CCM B - kumbe wenyewe ni CCM A, yaani viongozi
wao kadi wanazo na wanazilipia bila kusahau kuwa wanahudhuria
Mikutano ya Chama inayofanyika usiku.

Tumewajua, watanzania musiwaamini hao ni CCM halisi.

Mkuu Vijihela

Unasema ccm kuidhoofisha CUF! serikali ya zanzibar meundwa na muungano wa vyama gani vya siasa? (tuambie kama viwili kipi ni

A na kipi ni B lazima kiwepo cha kwanza na chapili vitaje ukishindwa tutakutajia)

Masharti ya uanachama kwa ccm yapo wazi, unayafahamu na kama unayafahamu uelewa wako kwa maada hii ni sahihi kwa mwanachama hai wa ccm?

Kama huko zanzibar unavifahamu vyama vilivounda serikali ya kitaifa, vipi kuhusu usaliti wa Omar mahita IGP enzi zile na majambia

ya CUF kontena mbili? (nani anakiunguza Cuf kwa mtazamo wako kuhusu majambia feki)
 
MTAHANGAIKA SANA TU KWA KURUKIA KILA MTI , BUT AT THE END OF THE DAY HAMUWEZI KUPUNGUZA MAHABA YA WATANZANIA KUPATA MABADILKO. MLIANZA NA UKABILA NA UKANDA, MKAJA DINI, SASA AMEKUWA CCM! SITASHANGAA SIKU TUKISIKIA HUMU KWAMBA SLAA NI MJAHIDINA NA AMETUMWA NA REDIO IMANI!haaaahaaah! TATIZO CCM NA CCM B (UHAMSHO) CHAMA CHA "WASWAHILI"ambao siku Zote maisha ni kucheza na maneno na vijimaneno! Ndio maana mkianzisha vijineno vyenu vya pilau, SLAA PAMOJA NA WAELEWA WENGINE HATUNA MUDA WAKUJIBIZANA! SLAA ANAENDELEA KUCHAPA KAZI YA UKOMBOZI ; NYINYI ENDELEENI NA CHEAP PROPAGANDA! KWA KUKUSAIDIA TU NI KWAMBA HALI YA CCM ITAZIDI KUWA MBAYA KADRI SIKU ZINAVYOKWENDA MBELE; NA ROHO YA KUTAKA MABADILIKO ITAZIDI KUTAMALAKI! POLE SANA MKUU SIJUI KAMA MTAFANIKIWA NA HIZO SO CALLED CHEAP PROPAGANDA! NI VIZURI MKAMSHAURI BOSI ALIYEWATUMA KWAMBA MBADILISHE STAILI, HII WATZ WAMEISHTUKIA! UNAJUA NINI? BADILISHENI MAISHA YA WATANZANIA; ONDOENI UFISADI; TOENI FURSA SAWA NDANI YA CHAMA NA SI KUPENDELEA WATOTO WA VIGOGO;KUWENI NA DIRA NA MENGINE MENGI: MKIYAFANYA HAYA NDIO YATAWAFANYA WATANZANIA WASIONE UMUHIMU WA SLAA NA WANAMAGEUZI WENGINE!OTHERWISE MTAMALIZA KEYBOARDS ZA COMPUTER KWA KUTAIP NONSENSE ; BUT YOU WILL NEVER EVER ACHIEVE WHAT YOU EXPECT!

Mabadiliko tunayataka sana lakini si kupitia kwa wanafiki ambao
wako Mahususi kwa kugawana vyeo kifamilia huku upande mwingine
wakiwa ni wanachama HAI wa CCM - Tumechoka na hapo ndipo pa
kuanzia mabadiliko. Mimi leo naichana kadi yangu ya CHADEMA.
 
Mkuu Vijihela

Unasema ccm kuidhoofisha CUF! serikali ya zanzibar meundwa na muungano wa vyama gani vya siasa? (tuambie kama viwili kipi ni

A na kipi ni B lazima kiwepo cha kwanza na chapili vitaje ukishindwa tutakutajia)

Masharti ya uanachama kwa ccm yapo wazi, unayafahamu na kama unayafahamu uelewa wako kwa maada hii ni sahihi kwa mwanachama hai wa ccm?

Kama huko zanzibar unavifahamu vyama vilivounda serikali ya kitaifa, vipi kuhusu usaliti wa Omar mahita IGP enzi zile na majambia

ya CUF kontena mbili? (nani anakiunguza Cuf kwa mtazamo wako kuhusu majambia feki)
Imeundwa Kwa Muungano wa Vyama viwili CUF na CCM, hapo hakuna A wa B
CHADEMA si chama cha upinzani ni tawi tu la CCM ambalo liliundwa kwa lengo
la kuidhoofisha CUF.

Masharti ya uanachama yanategemea, kama umetumwa kwa kazi maalum ya kuharibu
akili za watanzania unabaki kuwa mwanachama hai wa CCM.
 
Mabadiliko tunayataka sana lakini si kupitia kwa wanafiki ambao
wako Mahususi kwa kugawana vyeo kifamilia huku upande mwingine
wakiwa ni wanachama HAI wa CCM - Tumechoka na hapo ndipo pa
kuanzia mabadiliko. Mimi leo naichana kadi yangu ya CHADEMA.

Kuichana kadi yako sio tatizo tatizo ni impact uliyonayo kwa chama, wewe kuondoka chadema nikama kuondoa ndoo moja

ya maji bahari ya hindi, wakati mto ruaha, wami na mingine inaingiza mamilioni ya lita bahari ya hindi. waonaingia cdm ni maradufu

ya vilaza wachache (insignificant) wachumia tumbo wanaotoka.
 
Imeundwa Kwa Muungano wa Vyama viwili CUF na CCM, hapo hakuna A wa B
CHADEMA si chama cha upinzani ni tawi tu la CCM ambalo liliundwa kwa lengo
la kuidhoofisha CUF.

Masharti ya uanachama yanategemea, kama umetumwa kwa kazi maalum ya kuharibu
akili za watanzania unabaki kuwa mwanachama hai wa CCM.

Kama wanavyofanya Jusa na maalim huko zanzibar?

Nakama nimuungano wa Vyama viwili yaan CCM na CUF then kunamakosa kusema CCM = chama A na CUF ni chama B

Tupe mkataba au makubaliano ya muungano wa CDM na CCM kama ilivyo kwa CUF na ccm hapo juu?
 
Kama CCM wanajua slaa yu miongoni mwao na wananufaika kwa uwepo wake uko aliko,kulikuwa na haja ya kutoboa siri hadharani kuwa ana kadi hai ya CCM? Hizi ni siasa majitaka at work. Slaa is not among them and they know that.Ndio maana wanahangaika na pia wameshanusa upepo mbaya wa 2015. Hilo suala la Slaa kuwa na kadi hai au mfu halituhusu kama anaendelea kuwa mtetezi wa wananchi. Na nyie fanyeni kazi kisha mtuachie wananchi tufanye maamuzi. Ni hivi majuzi tu tumeshuhudia uchaguzi wa Marekani,zilizokuwa zikizungumzwa ni sera sio watu wala vitu.Nyie mnazungumza vitu na watu,halafu tuje tuwachague tena? kweli????
 
Mabadiliko tunayataka sana lakini si kupitia kwa wanafiki ambao wako Mahususi kwa kugawana vyeo kifamilia huku upande mwingine wakiwa ni wanachama HAI wa CCM - Tumechoka na hapo ndipo pa kuanzia mabadiliko. Mimi leo naichana kadi yangu ya CHADEMA.

Mkuu na wewe unatumia uongo kujenga hoja? Mbona tangu mwanzo wewe umeonesha chuki kwa Slaa na Chadema? Unakumbuka post yako ya 2nd September 2011 11:14 iliyokuwa na harufu ya udini

2nd September 2011 11:14

Hamko mbali kumuamudu w. slaaa maana mnatumia makalio kutafakari ndio maana mnamuabudu yesu badala ya Mungu.

Na hii ya 26th July 2012 13:51
Siasa za kwenye Vigango ndizo zinaenda kuimaliza CHADEMA 2015. Udini,udini,udini

Lini ulijiunga na Chadema mpaka unatwambia leo unaichana kadi ya CDM?

Imani yako na itikadi yako vinakuruhusu kutumia uongo?

Ukiwa muongo usiwe msahaulifu!
 
Tujadili umaskini wetu au utajiri wetu unaoliwa na CCM na
CCM 'A' ?

Kafukize udi na ubani mmeo leo kakupa fursa ya kulala kwako. Sirikali ya Umoja wa Kitaifa ndiyo maana yake ni ndoa halali.
 
Mkuu na wewe unatumia uongo kujenga hoja? Mbona tangu mwanzo wewe umeonesha chuki kwa Slaa na Chadema? Unakumbuka post yako ya 2nd September 2011 11:14

Lini ulijiunga na Chadema mpaka unatwambia leo unaichana kadi ya CDM?

Imani yako na itikadi yako vinakuruhusu kutumia uongo?

Ukiwa muongo usiwe msahaulifu!

Mkuu simuoni Vijisenti kuendeleza majungu yake sijuwi kaenda kuanzisha uzi mwingine kama bosi wake Nape?
 
Back
Top Bottom