Eti bandugu! polis hawahusiki na kesi za madai?

chopincho

Member
Dec 27, 2011
25
2
juzi nilienda polisi kufungua kesi ya madai,but askar waliokua zamu pale kituon wakakata na kuniambia hizo kesi wao haziwahusu so niende direct mahakamani kufungu charge.
 
Swali lako umeuliza kana kwamba wewe ni mwanasheria maana umesema tu kuwa ulipeleka kesi ya madai polisi
Ina maana unao uelewa wa kutofautisha kesi ya madai na ya Jinai, Kama kweli wewe ni mwanasheria inasikitisha sana
kuwa hujui kuwa Polisi wanashughulikia makosa dhidi ya Jamhuri pekee...kama vile wizi, unyang'anyi, kujeruhi, vipigo, uvunjaji majumba, kughushi:;
Kuwa makosa aliyofanyiwa mtu binafsi kama vile umemkopesha mtu fedha lakini hakurejeshei kwa wakati, ugoni, kashfa,nk ni makosa dhidi ya mtu binafsi hivyo ni jukumu la aliyetendewa kufungua shauri mahakamani.
 
Back
Top Bottom