Tetesi: Eti Baby Latifah sio wa Diamond

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,618
12,283
Igweeeeeeee jamani mimi mleta taarifa baada yakupata ubuyu huu kutoka mitandao mingine siongezi wala sipunguzi ila ukitaka juwa ukweli omba diamond aje apime DNA bongo pale ocean road maana SA ndio king Ivan anamibiashara yake na huyo bi zari, jamani huu ni Zaidi ya mitikisiko, matusi sitaki pinga hoja kistaarabu kama ujuw English tafuta kazi ingine au tembelea hii web

Ivan Claims Fathering Zari's Baby - Oops

Baby Latifah and Ivan Semwanga

This was shortly followed by a contract worth over Shs83 million with a baby shop.

Who wouldn’t want to be a daddy to such a child?!

Well, we all know Tanzanian popstar, Diamond Platnumz as the father of the baby but hey, this may not be good news to the ‘Number One’ singer as someone else has come out claiming fathering Zari’s baby.
And guess who it is? Her ex, Ivan Ssemwanga, the father of Zari’s other children.
Semwanga’s young brother, King Lawrence came out Sunday and claimed that the child is Ivan’s.
“I am here chilling with Latifah’s father,” Lawrence captioned a photograph in which he is seen seated next to Ssemwanga.
This, to many seems like a joke but it should not be forgotten that after breaking up with a one Farouk Ssempala, Zari secretly went back to her children, at Ivan’s home.

But she was later busted staying secretly at Ivan’s home.
Though, she left in November, splitting with Ivan for a second time in a year.
It was at this time that she hooked up with Diamond.
 
Zari ndiye anayemjua baba halisi wa mtoto. Awe wa Ivan au wa Diamond we have nothing to discuss. Haitusaidii hata kidogo. Role yetu kwenye familia ile ni kumsapoti tu Diamond katika kazi zake kwa ya uzalendo wetu. Tukitumia muda wetu kujadili yasiyotusaidia ni hasara maana tungetumia muda huo kujengana kiuchumi, kijamii, kiimani and the like. Ni mawazo yangu tu, I stand to be corrected.
 
We maisha ya watu yanakuhusu nini? Kama wenyewe wamependana tatizo liko wapi alafu leo ni Pasaka ni siku takatifu sio vizur kupiga majungu .
 
Igweeeeeeee jamani mimi mleta taarifa baada yakupata ubuyu huu kutoka mitandao mingine siongezi wala sipunguzi ila ukitaka juwa ukweli omba diamond aje apime DNA bongo pale ocean road maana SA ndio king Ivan anamibiashara yake na huyo bi zari, jamani huu ni Zaidi ya mitikisiko, matusi sitaki pinga hoja kistaarabu kama ujuw English tafuta kazi ingine au tembelea hii web

Ivan Claims Fathering Zari's Baby - Oops

Baby Latifah and Ivan Semwanga

This was shortly followed by a contract worth over Shs83 million with a baby shop.

Who wouldn’t want to be a daddy to such a child?!

Well, we all know Tanzanian popstar, Diamond Platnumz as the father of the baby but hey, this may not be good news to the ‘Number One’ singer as someone else has come out claiming fathering Zari’s baby.
And guess who it is? Her ex, Ivan Ssemwanga, the father of Zari’s other children.
Semwanga’s young brother, King Lawrence came out Sunday and claimed that the child is Ivan’s.
“I am here chilling with Latifah’s father,” Lawrence captioned a photograph in which he is seen seated next to Ssemwanga.
This, to many seems like a joke but it should not be forgotten that after breaking up with a one Farouk Ssempala, Zari secretly went back to her children, at Ivan’s home.

But she was later busted staying secretly at Ivan’s home.
Though, she left in November, splitting with Ivan for a second time in a year.
It was at this time that she hooked up with Diamond.

Wachangiaji wa jamiiforum mimi ningeomba tujadili hili ktk mtazamo chanya maana kama tunajuwa umuhim wa vipaji vya watu wetu basi diamond yatupasa kuona siku za mbeleni hatokuwepo. Huu ni Zaidi ya ujasusi kama sio ugaidi kijana huyu ambaye bado mbichi na alie toka ktk hali ngumu ya maisha ameingia kwenye bahari ya matumizi na mwanamke ambaye sio wake, asie kuwa hata na back ground ya mahusiano yoyote leo eti anasema mke wake tena anaanza kutumbuwa naye maisha jamani huu ni ugaidi mkubwa na kifo kisichokuwa na mfano wake ktk tasinia ya muziki, si kweli zari anachochote kipya anakifanya kwa diamond ila kutokana na maisha yake ya kule ametoka atataka kumchuma diamond ktk way ya mchezo wa tutusa.
Embutafakaini watanzania wenzangu na make mkijuliza nini kinaendekea kwa ktk maisha ya hawa wawili.

Ivan ktk maojianao kadhaa na vyombo vya habari Uganda amekuwa akimdharau diamond kama mtu asie jielewa na amedadia tren kwa mbele na anakiri zari ni wake na vigezo ni mali na watoto wao.

Zari ktk mahojiano kadhaa kwenye vipindi maalumu anakiri mali yake na ivan wameipata kwa shida na ivan ndio mume wake. ukiwa na bit za kutosha nenda you tube ujionee mwenyewe.

Hakuna mahali Either ivan au zari anamtukana mwenzake au kupeana talaka kumbuka hili sio jambo dogo maana utajiri wao ni mkubwa . jamaa wapo kimya wanaendelea na maisha pasipo vijembe wala matusi.

diamond alipokwenda Uganda alipighwa stop kuongelea mahusiano yake na zari tafuta mahali diamond anaongea lolote kuhusu zari akiwa Uganda uje unitukane. pia ipo video inaonyesha vile wapambe wa zari wakizuia vyombo vya habari kuongea na diamond.

Zari na Ivani wanamahusiano mazuri ya kibiashara na SA na kama ulikuwa hujuwi SA DNA kupima ni kama maduka ya urembo, yani haipo kama hapa kwetu kitu ambacho kinaweza kumfanya mtu kununua majibu, which means kwa ulugha lugha wa diamond lazima jamaa wanunue majibu kumficha ukweli maana kazi yao haija isha. wenye hekima tunasema mkemia mkuu wa Tz ndio angethibitisha ukweli kama kweli diamond Latifah ni wake au mbuzi kwa kigunia na kama ukitakajuwa ukweli Zari hawezi kubali hiyo kitu yupo tayari kukaa pembeni nakumuacha kijana anaisoma namba.

Last but not list upo uwezekano mkubwa Zari akatumika kummaliza kimziki Diamond au kuleta mshituko ktk tasinia ya mziki pale ataamua kuishi maisha yake nakumuacha diamond akilia hii ni siri ambayo wengi wetu ambao ni wachambuzi wa mambo tunasubiria kuona maana mapenzi ni game of war yakupasa kuwa makini sana na anayekupenda au unaye mpenda. Pia ni ukweli usio fichika kuwa shetani hana kitu cha bure never ever on earth.
 
Mpaka hapo natilia shaka uadilifu wa kimapenzi wa Zari,mpaka Ivan anapata ubavu wa kudai mtoto ni wake,maana yake wakati Diamond akiwa na Zari,Ivan alikuwa anaendelea kupiga muda wowote akitaka,na ndo maana Zari hana ujasiri wa kumaliza huu uzushi kwa kwenda kupima DNA japo Ivan alisema yeye atagharamia gharama zote za kupima DNA
 
Last was n joberg..those days diamond mapenzi yanaanza zarri akifika southafrica anapokelewa NA. Ivan NA garizao za maana..NA mpaka sasa zari akienda joberg analala KWA ivan
 
naona kuna kitengo maalum kwa ajili ya kuleta hoja ovyo ovyo ili watu waendelee kudumaa kiakili..unataka tujadili dna ya mtoto wa mwenzio...
 
Hayo mtoto wanani siwezi sema maana humuu wengi jf babazenu n wakuwafikia ingawa mama zenu awataki kusema Ukweli nawambia toka moyoni ukitaka kuaribu ndoa za watu kakimbilie DNA ..ndoa chache zitabaki NA m sitaki ya mwenzangu alie hukosiji kabsa
 
Back
Top Bottom