Huwa wkt wakiwa peak.. wanasahau kuwekeza kwenye maisha yao. Wanawekeza kwenye madem na starehe na umaarufu.
Nyota zikishafifia ndio hivyo basi wanarudi kule kule na kuanza kulalama.
Msanii wangu wa kwanza na mwisho kununua Album yake alikuwa huyu jamaa hapa Bongo.
Nakumbuka nilikuwa nafunga safari kwenda kijiji cha jirani ili niisikilize nyimbo zake.Ila ile kitu ni tatizo kubwa sana kwa walio wengi mkuu.
Hatari Sana.
Hongera kwa kumsapoti kijana ila kwa bahati mbaya hela yenyewe imetumika sivyo kabisa. Loh.
Sory mkuu ile id yako ya zamani umeiacha?
And life begins at 40.Fainali uzeeni atajikuta anaingia 40 hajui afanye nn
Yapaswa watafute namna wapambane na hali yao
And life begins at 40.Fainali uzeeni atajikuta anaingia 40 hajui afanye nn
Yapaswa watafute namna wapambane na hali yao
Ronald Reagan said life begins at 70And life begins at 40.
Nakumbuka nilikuwa nafunga safari kwenda kijiji cha jirani ili niisikilize nyimbo zake.
yuko na mwenzie chilla anafikiria kujinyonga...kila akijarib kurudi kweny gem anafeli na watu hawamsapoti.