Eti ananitishia ushirikina

Mkuu pole bana duniani hapa usanii no mwingi yawezekana hata hapo CBE wanafaulu kwa vitisho vya ushirikina.
 
Teh Teh muone haraka mashana jr akupe dawa kabla ujarogwa...!

Kusema ukweli wasichana walio wengi wanategenea sana ushirikina kwenye mahusiano..
 
CBE, magogoni, na vyuo vingine vinavyofanana na hivyo navyo ni majipu. Serikali ingevifutilia mbali ibaki VETA. Vinazalisha wajinga na wasiojielewa. Wasichana wanajifunza kujizuia kupitia hivyo vyuo....
Hata mfumo wa ufundishaji katika hivyo vyuo haujakaa sawa.
 
Mambo Reina..?
 
Hakuna cha ushirikina wala nini...kama wanaweza kumroga mwanaume kwanini wasiroge wapate pesa? Watu weusi tuna walakin katika akili zetu.

Hapo ukimuuliza kama alishawahi kushuhudia uchawi wowote jibu ni NO.
 
Au kwa nini wasiroge kusiwe na michepuko?
 
CBE chuo cha waliopata 4,5,0 karibia wote, msibishe nina ushahidi wa mtu aliyepata 0.

Magumashi mengi, vyupi....., Walimu kupenda mteremko Wa kugegeda........ Sasa hapo kweli kutakuwa na elimu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…