Eti anaipenda harufu yangu.....

twazipenda hasaaa asikwambie mtu....mie wangu nshamkataza kutumia hayo na ametii amri!

AHH WE SHOST ..acha habari bwana..ukutane na njemba inatema km beberu ...bado utaiambia USITUMIE SPRAY BEB?

ahh labda wako atemi kikweli kweli anatema kisharobaro ..lakin km angetema km kuli wa kariakoo pale sokon ahhh ...ungekuwa unampisha njia ukimwona yuleeeeee we unageuza njia...

ushawwai kupishana na wakaka wametoka kucheza mpira...ahh mi nikonaga kundi lile laja mi fasta sanaaaaaaaa nakula kushoto...
 
Bibi ni mtu wa Mungu.

We ushatokewa na kitu kama hiki? (Sorry, wewe ni he au she?)

Mimi ni sheeeeeeeee, mimi inanitokea kwa mr wangu, anachukua hata kanga ila hajawahi niambia hiyo sababu aliyosema bibi nami sijawahi muhisi vibaya, kwangu naomna hakuna ushirikina, au umehisi hivyo kwa vile anavyochukua shati chafu?
 
Hahahhahaha.......we ni mkareeee........ mi natinga andawea yake kama Beckham! (Maswali mengine hayana adabu LOL)

ukiulizwa yanayokuhusu ndo hayana adabu..ya bibi ukuona ivo?
naenda kumwambia bib ...naenda kukusemelea ..wewe umedema bib amechunpa na shat lako lenye majasho...

ehh ivi una enga chifu ya said apo?

ata ya delo itanifaaa!!
 
Aseee!!!
Kumbe Mnapenda harufu ya majashooeee!!!
sasa mbona hamtuambii tuache kutumia haya ma-roll on na body spray??
mzee, dawa ni kuacha kuoga tu ili wafaidi zaidi ile harufu

aisee
 
Mimi ni sheeeeeeeee, mimi inanitokea kwa mr wangu, anachukua hata kanga ila hajawahi niambia hiyo sababu aliyosema bibi nami sijawahi muhisi vibaya, kwangu naomna hakuna ushirikina, au umehisi hivyo kwa vile anavyochukua shati chafu?
Issue si kuchukua shati safi au chafu.......Ishu ni kuchukua nguo yangu, ambayo haimhusu na wala hataivaa.... hicho tu mpenzi.

Huyo mmeo anavyochukua khanga, huwa unamfungia na kondom au?
 
ukiulizwa yanayokuhusu ndo hayana adabu..ya bibi ukuona ivo?
naenda kumwambia bib ...naenda kukusemelea ..wewe umedema bib amechunpa na shat lako lenye majasho...

ehh ivi una enga chifu ya said apo?

ata ya delo itanifaaa!!
Mimi Hamis bin iJumaa......... nakukanya kwa hii name calling....
 
mzee, dawa ni kuacha kuoga tu ili wafaidi zaidi ile harufu

aisee
Afu uwe umetandika biya kazaa......... patakuwa hapatoshi walahi
Inauma sana asee.
 
duuh....c bora angechukua manukato unayopenda kutumia.
 
Issue si kuchukua shati safi au chafu.......Ishu ni kuchukua nguo yangu, ambayo haimhusu na wala hataivaa.... hicho tu mpenzi.

Huyo mmeo anavyochukua khanga, huwa unamfungia na kondom au?

Acha hizo wewe, nilimzowesha mwenyewe akitoka namuwekea, na mwenyewe nikisafiri natafuta nguo yake yoyote nachukua tumezoea na hakuna ushirikina ni upendo tu, usimfikirie vibaya bibi, ni upendo wake kwako amezoea harufu yako sasa kama haupo anaona ataimiss tu na si vinginevyo, usiende mbali bure ukaanza kuyatuta yaliyolala, just trust her, its love nothing else
 
mkuu Asprin usiwe na hofu ni kweli kabisa mamsap wangu toka tuko uchumba alikuwa ananiambia kuwa anaipenda sana harufu yangu. mpaka leo hupenda sana kuweka pua yake maeneo ya shingo yangu anasema my scent rocks her. Pili kuna dada mmoja kazini alishawahi kunitamkia akiwa karibu na mie anaenda coz harufu yangu anaipenda, baadaye akanitumia mail kuniulizia perfum gani natumia wakati mie nilikuwa situmii perfum yoyote ile. so mkuu mshukuru mungu hapo! your wife kweli anaku miss so scent yako itamtuliza.
 
....'urogwe'
mara ya ngapi nawe? majuzi tu ulikuwa unashereheka hapa anniversary,...kubali matokeo!
Hata simu yaongezewa "chaji" sembuse penzi?...
 
Mh!!! Lakini pia nasikia wazoefu wanasema kuwa wengine (men) huvaa under wear za wapenzi au wake zao wanapowamiss au hulazimika kurelux home na under skirt za wake zao au wapenzi wao.
 
mhhhhh!!!!!

Ila nakupa hongera babu...maana mambo mswanu kabisa!
Hujambo rafiki? haya nambie hongera ya nini vile?

Ahaaaa.... nlikuwa sijuagi mwaego........... nami nikisafiri ntaondoka na gagulo lake kulaaleki..

Aisee.... nashukuru Mkuu. Na hili ndilo Neno La Mungu.
 
Mimi Hamis bin iJumaa......... nakukanya kwa hii name calling....

haaaaaaaa ..haaaaaa jaman...ayabana.

saidi ndo lake jina
kunkataza kulitamka ni hiyana
sna budi kwalo jina kulinena bila hiyana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…