Eti ana mimba yangu!!

Eti ana mimba yangu!!

Are you sure kwamba ni siku ya 6 tangu ANAANZA bleeding? Ina maana ni siku ya 2 au 3 tangu AMALIZE? If that is the case uwezekano ni mdogo, ila inatokeaga sometimes yai la ovary ya upande mwingine kukomaa tofauti na ratiba hivyo it happens sometimes.

As Nyani Ngabu said, usikatae moja kwa moja; subiri mtoto azaliwe.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mimba ni yako..jipange tu kwenye ulezi!... Mentor yamewahi kukuta ni nini?...naona cheko lako si haba..
Ila mleta uzi sijapenda ulipojisifia like 'nimemtoa nduki'.....hata kama una doubt kwamba sio yako but that aint fair bwana..kumbuka ulivokuwa unamkatikia bila ndomu...lolz

Haha..how I wish yangenikuta..kwa yuleeee!?? but it jus never hapenned...bt anyway, that's a story for another day!!!

Jamaa kanchekesha sana na biology yake ya miaka sita!!! dah...
 
Siku sita baada ya Bleeding huo ni utapeli wa mchana kweupe!Hilo haliwezekani kwa hali ya kawaida atleast baada ya siku 9 mpaka 11 ndiyo danger period inaanza!! Inawezekana anakutega tu aone msimamo wako incase ikitokea amenasa hebu ongea naye vizuri.

Tafakari,chukua hatua ya kula nduki kali sana bila kugeuka nyuma!
 
Kama ulikatika mauno bila kinga, nakushauri ukapime na HIV/AIDS maana unaweza ukawa umepata pia, yani mmebadilishana, wewe umempa MIMBA na yeye amekupa VIRUSI vya huo ugonjwa, kwahiyo ngoma draw lol!
 
Wenzio wanakimbia kulea mtoto si kulea mimba, na kulea mimba is very easy, akizaliwa kama alivyosema Nyani Ngabu kapime then utajua mbivu na mbichi.
The Magnificient kwani wewe hunambegu za kufanya mimba?
 
Ni kweli nilifanya nae mapenzi siku ya 6 tangu kuanza bleeding,leo ananiambia ujauzito wangu,nimemtoa nduki kwanza....nifanye utafiti kwanza kama inawezekana.....

Eti wadau,siku ya 6 inawezekana kweli?? kwa elimu yangu ya baiolojia kwa vidato sita,,,,,sioni uwezekano kwa kweli....nahisi nataka kubambikiwa mzigo hapa...

Kwa wataalamu wanaofahamu zaidi kuhusu huu utaratibu naomba wanisaidie ufahamu...

With Great Thanks
The Magnificient..

Hahaha.....Siku 6 mzee, hiyo yako kaka wala haina ubishi mzee. Andaa bajeti ya vinepi tu mzee....
 
Ni kweli nilifanya nae mapenzi siku ya 6 tangu kuanza bleeding,leo ananiambia ujauzito wangu,nimemtoa nduki kwanza....nifanye utafiti kwanza kama inawezekana.....

Eti wadau,siku ya 6 inawezekana kweli?? kwa elimu yangu ya baiolojia kwa vidato sita,,,,,sioni uwezekano kwa kweli....nahisi nataka kubambikiwa mzigo hapa...

Kwa wataalamu wanaofahamu zaidi kuhusu huu utaratibu naomba wanisaidie ufahamu...

With Great Thanks
The Magnificient..

mkuu,umeuza mechi then unategemea ushindi...:nono:
 
Assuming kuku wake anamchinja kwa siku tano, siku 6 baada maana yake kimzunguko ni siku ya 11...wale watoto wa chura wakiingia hiyo siku wanweza kuishi siku tatu bila maji...siku ya 4, (14 kimzunguko) mafuriko ya mtu ovari yakishuka basi angalau mtoto mmoja wa chura anaweza kusurvive tena...anakisiwa atakuwa dume! Kwa hivyo kiongozi uanze shopping ya vinguo na dipers!
 
Thank God, never dated a kid in the head!

Una uhakika hata anajua ilikuwa siku ya ngapi?

Serious, kama ni mie, mwanamme aki-doubt mimba si yake, will never see me kabisa, atakutana na mwanae wakikua.
 
Sioni sababu yakumkana mtu eti kisa mimba,kwani ulipo kua una du bila jezi ulitarajia nini?!!! Acheni kuwaharibia madada zetu future zao.
 
Unapiga tikitaka huku umevaa msuli hivi ulikuwa unatarajia nini? Mkipenda raha, mkumbuke na karaha bwana ah!!...lea mimba bwana.
 
Naona mnanishambuliiiiiiiia kama nimeua bwana.....me si nimeomba ushauri tu....??
Mentor anavyoishabikia hii issue kama aliyepewa mimba ni dada yake....dah....

Anyway,ushauri wenu wa maana ntaufanyia kazi,ule wa kipuuzi nami ntaupuuzia

Ahsanteni sana...
 
Last edited by a moderator:
Siku sita baada ya Bleeding huo ni utapeli wa mchana kweupe!Hilo haliwezekani kwa hali ya kawaida atleast baada ya siku 9 mpaka 11 ndiyo danger period inaanza!! Inawezekana anakutega tu aone msimamo wako incase ikitokea amenasa hebu ongea naye vizuri.

Tafakari,chukua hatua ya kula nduki kali sana bila kugeuka nyuma!

Kama circle yake ni ya 26 na kama flow yake ni ya siku 5, ina maana siku 6 BAADA ya kubleed ni siku ya 11 ya mzunguko na ovulation yake ni siku ya 13 so mimba is possible. Ila sijui nilimuelewa vibaya yeye anasema ni siku ya 6 tangia aanze period.
 
Back
Top Bottom