The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
- Thread starter
- #41
Kama circle yake ni ya 26 na kama flow yake ni ya siku 5, ina maana siku 6 BAADA ya kubleed ni siku ya 11 ya mzunguko na ovulation yake ni siku ya 13 so mimba is possible. Ila sijui nilimuelewa vibaya yeye anasema ni siku ya 6 tangia aanze period.
We nae huelewi nini hapo?? Nimesema siku ya 6 tangia aanze kubleed,huelewi nini sasa...