Eti ameniacha kisa kofi moja tu

Sasa ulimuomba msamaha wa nini? Kwani alikuwa nyumbani anapika? Amelielezea vipi hilo? By the way hilo kofi unasema limekukosesha mke ilhali kuna uwezekano limekuokoa usiingue choo cha kike!!

We mwenyewe hujielewi kwanza....jirekebishe.
 
Mkuu, hapo angalia 50 zako tu.
Mazingira tu ya ugomvi wenu yanaonesha kuwa binti sio mwaminifu kwako.
1. Umemkuta bar na njemba kwenye simu akaongopa
2. Alipokuona live unexpectedly alichanganyikiwa.
3. Alikuambia uongo kuwa ni kaka yake, na kama ni kaka why ajikanganye location yake ya mda huo kama ana nia njema?
Mwisho kabisa anakueuzia kesi kuwa wewe ndio mkosaji ili next time akushike vizuri zaidi yaani kama mkirudiana ni lazima utakuwa kiganjani mwake tu.
My take:
Achana nae mapema while it is early, you still have chance ahead of you ( maana umesema uhusiano wenu una miezi 3 tu) so hadi hapo bado mizizi ya penzi haijaenda mbali saaana moyoni.
The cards are on your lap, take them or leave them
 
Unamuuliza swali anajibu uongo atapigwa tu, hamna namna nyingine atapigwa tu na mimi nasema apige tu maana ni muongo.
 
Wewe usiwe mjinga huyo demu ni malaya kashakuona wewe ----- ..huyo aliyekuwa nae sio ndugu yake ...kama angekuwa ndugu asingekudanganya ...ukivyompiga ni sawasawa mpuuzi huyo achana nae kabisaaa
 
Kofi halifuti kosa ila linamkumbusha kuwa hatakiwi kufanya upuuzi!
 
mara paap umeachwa[emoji2] [emoji2]
 
yaan ww umemuonea huruma sna itakua ni mwanaume wa dar si bure mim namngoa meno matatu hapo hapo mbele ya huyo kijeba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…