Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Mkuu nafikiri utakuwa na matatizo ya fikra...unataka ushahidi gan tena kuwa huyo mwanamke siyo muaminifu???acha upuuzi acha kulialia katika maswala yakipumbavu...huyo hakufai
Kama alikuwa na kaka hapakuwa na sababu ya kukwambia uwongo na pia asingeshtuka kukuona na vilevile asingekimbia..nadhani alikufanya ATM. Ndo dada zetu walivyo ck hizi..walio wengi japo wapo waaminifu wachache
Ww umefanya kosa kumpiga lakin yeye kafanya kosa zaidi kwan anaonekana dhairi kwamba ni msaliti na sio mkwel hata kidogo na anatumia upendo wako kwake kukunyanyasa na kuto kukusamehe kisa kupigwa Kofi nakushauri piga kibuti atarudi tu mwenyeweWewe nae una matatizo, kama alikuwa na kaka yake, kwanini akudanganye? Hujiulizi tu? Huyo hajafanya maamuzi, ingia barabarani kutafuta mwingine, acha kumpigia kabisa. Na huo mkwara wa yeye na wewe basi ni kwa sababu anajua yeye ndie mwenye makosa. Mara nyingi alie na kosa huwa anaoverdo mambo akidhani ndicho kinachopaswa kufanyika ili ionekane kweli. Angekuwa mkweli, angetaka kukuumbua palepale kwa kumuita kaka yake athibitishe kuwa ni kweli wana undugu.
Hivi mbona mnakuwa mazuzu kirahisi hivyo? Mtu unataka kumuoa, adanganye yuko home, umkute bar yuko na jamaa, anadai nivkaka yake baada ya kuwa umempiga kibao, kwanini asimuite huyo kaka amtetee?
Hata minaona,inawezekana huyu hajawahi kupigwa,
mara moja moja sio mbaya akae kwa line.
Hilo kofi ni koffi anan au koffi olomide ??
Short and precise! Jamaa anahisi ila hataki kuikubali reality kuwa huyo mwanamke si wake peke yake.
Haaa..haaaa..Mkuu umenifurahisha...jamaa baada ya huduma ya miezi mitatu anahisi hati miliki anayo yeye peke yake...!
Yeye akubaliane na ukweli tu, kama hawezi kukaa kwenye foleni, aendelee na yake la sivyo atampiga sana huyo binti kwa sababu ya surprise nyingi atakazokutana nazo.
Kwanza unampiga mkeo? umemtolea mahari? mahusiano ya miezi mi3 unampiga yangekua miezi sita? au akitimiza mwaka na meno hana, Mwanamme anatakiwa awe muelewa ungemuuliza kwa hekma na upole ungejua yote lakini kwakipigo anajitambua huyo mwanamke ndio mana anaona naiwe basi, ivi mpaka leo kuna wanaume wanaopiga wanawake kweli?
Kaka kama mmeshindwana TABIA muache na huo mchezo kwanza amekufundisha nani au umeona wapi? huyo ni mtoto wawatu unampiga kofi na anakufia unafanyaje? tumia busara sana mara nyengine,sorry kama ntakua nimeongea sana.