Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,250
- 122,342
Hiyo ni moja ya vijihoja vinavyozungumzwa sana na watu 'wenye akili' [naona ukiwa anti-Magufuli humu basi eti wewe una akili
] kuhusu hizi jitihada za rais hususan kuhusu mikataba ya madini.
Okay, sawa. Yeye alikuwa mbunge kwa miongo miwili na amekuwa naibu waziri na waziri kwa karibu muda huo huo.
Sasa, hata kama alikuwa hivyo vyote, so what?
Ndo asifanye haya anayoyafanya sasa?
Mnataka afanye nini sasa?
Akifanya mnalia hivi....asipofanya napo mtalia vile tu. Si ajabu naye mtaanza kumwita dhaifu.
Watu hamna jema kabisa nyie.
Ni rahisi sana kujikalia huko mlipo na kusubiri wengine wafanye ili tu mpate fursa ya kukosoa.
Eti ooh alikuwa mbunge....alikuwa waziri....so freakin' what?
Asifanye chochote kısa tu alikuwa mbunge na waziri?
Mnataka aache mambo yaendelee kuwa kama yalivyokuwa au?
Wahshi kabisa nyie.
Watu mmekalia kupinga tu. Saa ingine hata mnachopinga hakieleweki.
Hicho kihoja chenu ni dhaifu mno. Kwa sababu tu yeye ni CCM haina maana ya kwamba ndo asifanye chochote kile kısa tu CCM ndo iliyotufikisha hapa tulipo.
Asipofanya yeye mnataka nani sasa afanye? Babu Lowassa?
GTFOH