Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,262 Reaction score 18,711 Nov 4, 2011 Thread starter #21 Mzee2011 said: Hapo lazma ufanye uamuzi mgumgu. Uwatose wote wawili. Click to expand... Wacha wa gombane wmisho nitajua yupi ndoo mwanake wa kweli.
Mzee2011 said: Hapo lazma ufanye uamuzi mgumgu. Uwatose wote wawili. Click to expand... Wacha wa gombane wmisho nitajua yupi ndoo mwanake wa kweli.
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,827 Reaction score 1,314 Nov 4, 2011 #22 Lizzy said: Sasa siungetoa haya maelezo yote mwanzoni??? Neway mpaka wafikiekumgombania mwanamme wameonyesha wote hawana maana.Si watafute wengine huko...au kabaki peke yake duniani?? Click to expand... Mhh inaweza kuwa kinyume chake kwa anayegombewa; si dalili njema hii!
Lizzy said: Sasa siungetoa haya maelezo yote mwanzoni??? Neway mpaka wafikiekumgombania mwanamme wameonyesha wote hawana maana.Si watafute wengine huko...au kabaki peke yake duniani?? Click to expand... Mhh inaweza kuwa kinyume chake kwa anayegombewa; si dalili njema hii!
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,682 Nov 4, 2011 #23 Fighting for a man?? Really??? Oooh.......Gosh!!! Sifanyi huo upuuzi aisee!
S shalis JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 270 Reaction score 64 Nov 4, 2011 #24 ..oppps fight fo ATM may be not for men ..
bombu JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 1,127 Reaction score 544 Nov 4, 2011 #25 Tychicus said: Lizzy naamini hujapenda bado. Click to expand... Dah!...
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,919 Nov 4, 2011 #26 Wanawake bana,wanaponda kweli lakini wote lao moja labda majini ya kwao yawe likizo!
JICHO LA 3 JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 356 Reaction score 62 Nov 4, 2011 #27 Nyie si huwa mnaona raha kuchanganya wanawake na kugombewa ndomana wanaamua bora wakose wote ili kila mtu awe na time zake.
Nyie si huwa mnaona raha kuchanganya wanawake na kugombewa ndomana wanaamua bora wakose wote ili kila mtu awe na time zake.
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,262 Reaction score 18,711 Nov 4, 2011 Thread starter #28 JICHO LA 3 said: Nyie si huwa mnaona raha kuchanganya wanawake na kugombewa ndomana wanaamua bora wakose wote ili kila mtu awe na time zake. Click to expand... Nyie ndo mnajichanganya na mnatuchanganya.
JICHO LA 3 said: Nyie si huwa mnaona raha kuchanganya wanawake na kugombewa ndomana wanaamua bora wakose wote ili kila mtu awe na time zake. Click to expand... Nyie ndo mnajichanganya na mnatuchanganya.
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,682 Nov 4, 2011 #29 Eiyer said: Wanawake bana,wanaponda kweli lakini wote lao moja labda majini ya kwao yawe likizo! Click to expand... Kumbuka sio wote tunaweza fanya huu upupu wa kumgombania mwanaume, thats why tunaponda!!
Eiyer said: Wanawake bana,wanaponda kweli lakini wote lao moja labda majini ya kwao yawe likizo! Click to expand... Kumbuka sio wote tunaweza fanya huu upupu wa kumgombania mwanaume, thats why tunaponda!!