kilam
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,092
- 2,126
Exclusive: Behind the SGR walls
But beneath this shiny veneer is a tale of pain, anguish and broken dreams for a multitude of Kenyans who feel trapped on the train.
www.standardmedia.co.ke
SGR station (shaolin temple) "parachuted" directly from China to Kenya. View attachment 1202947
Hii ndio bestView attachment 1202857
Wewe iam_tako unazingua.Nahisii unaelewa SGR ya TZ itavowapora nyie wehu both Uganda and Rwanda, SGR etu imetembelewa na viongozz wa Uganda, na Rwanda, also Burundi, Congo, zambia na malawi ni patner wetu miaka mia, tunawapora kila jirani yenu mbuzi nyie, subir uone
At a 110km/hr speed bado wana kwambia ni class 1 sijui grade 1 bla blah.. mchina amewashika pabaya sana manyang'au
Ya Tanzania sio mkopo wa Chineseya Tanzania itakua tu hivo hivo
Njaa imewapunguzia uwezo wa kufikiri kichwa kinawaza chuki na ukabila muda wowote,
Failed state ninyi.
Ushamaliza kukunywa supu?
Ya Tanzania sio mkopo wa Chinese
Ni kama umemaliziwa hiyo supu, naona uko na hasira sanaNikuulize mnywaji.
Siku hizi tunawaita kamati ya roho chafuNyani haoni kundule ...
Wewe Venus Star ,Joto la Mwitu,Babayao228,Motochini ,Giza Ulale ,Redeemer nyie wote ni watanzania wanaopenda sana kuona na kutafuta negative things about Kenya ili kufurahisha mioyo yenu chafu.
Mnakuwaga na akili fupi sana hadi aibu,
Kwani SGR ya Tz imeshamalizika kujengwa?
Mnateseka sana wajuba.
Muda si mrefu njaa itakuua, TZ inakupa sleepless nights buda!Ni super bana,ebu kula albino pole pole
Ooooo!!leo ndio mmejua haijakamilika..sasa huu uzi ni wa nini..kweli akili zenu fuli aisee
Soma vizuri hyo comment..nli edit kitambo...Ooooo!!leo ndio mmejua haijakamilika..sasa ule uzi ni wa nini..kweli akili zenu fuli aisee
Anyway..asanteni sana leo kw kukubali km sgr yenu ni hewa mpka sasa...so msijilinganishe na sisi..ngojeni mradi uisheKwani uzi kafungua nani na ni nani kaanza kutaja Tz,
Punguza kukurupuka.
Hahahaahhahahahaha bro umeniua mbavu.SGR station (shaolin temple) "parachuted" directly from China to Kenya. View attachment 1202947
Soma vizuri hyo comment..nli edit kitambo...Anyway..asanteni sana leo kw kukubali km sgr yenu ni hewa mpka sasa...so msijilinganishe na sisi..ngojeni mradi uishe