Ethiopian SGR the worst SGR experience ever.BBC news.9th september

Mudawote

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Messages
6,719
Points
2,000
Mudawote

Mudawote

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2013
6,719 2,000
Huyo mwandishi anapaswa ahamie huko kwa wazungu na kila anayeshabikia huu upuuzi ahame nchi
 
iam_paco

iam_paco

Senior Member
Joined
Aug 28, 2019
Messages
124
Points
250
iam_paco

iam_paco

Senior Member
Joined Aug 28, 2019
124 250
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
65,988
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
65,988 2,000
SGR is justa railway with a track gauge of 1,435 mm. The standard gauge is also called Stephenson gauge after George Stephenson, International gauge, UIC gauge, uniform gauge, normal gauge and European gauge in the European Union and Russia.

It doesn't mean, by any means, the services provided by the train operator. Remember that.
 
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
3,244
Points
2,000
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
3,244 2,000
Nahisii unaelewa SGR ya TZ itavowapora nyie wehu both Uganda and Rwanda, SGR etu imetembelewa na viongozz wa Uganda, na Rwanda, also Burundi, Congo, zambia na malawi ni patner wetu miaka mia, tunawapora kila jirani yenu mbuzi nyie, subir uone
Wewe iam_tako unazingua.
 
KENPAULITE

KENPAULITE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
1,438
Points
2,000
KENPAULITE

KENPAULITE

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
1,438 2,000
Nyani haoni kundule ...

Wewe Venus Star ,Joto la Mwitu,Babayao228,Motochini ,Giza Ulale ,Redeemer nyie wote ni watanzania wanaopenda sana kuona na kutafuta negative things about Kenya ili kufurahisha mioyo yenu chafu.
Siku hizi tunawaita kamati ya roho chafu
 
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
4,522
Points
2,000
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
4,522 2,000
Ooooo!!leo ndio mmejua haijakamilika..sasa ule uzi ni wa nini..kweli akili zenu fuli aisee
Mnakuwaga na akili fupi sana hadi aibu,
Kwani SGR ya Tz imeshamalizika kujengwa?
Mnateseka sana wajuba.
 
babayao255

babayao255

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
2,010
Points
2,000
babayao255

babayao255

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2019
2,010 2,000
Kwani uzi kafungua nani na ni nani kaanza kutaja Tz,
Punguza kukurupuka.
Ooooo!!leo ndio mmejua haijakamilika..sasa huu uzi ni wa nini..kweli akili zenu fuli aisee
 
Root

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
32,163
Points
2,000
Root

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
32,163 2,000
Ngoja ije niwe nazama Dodoma nenda rudi kila nikitaka
 
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
4,522
Points
2,000
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
4,522 2,000
Ooooo!!leo ndio mmejua haijakamilika..sasa ule uzi ni wa nini..kweli akili zenu fuli aisee
Soma vizuri hyo comment..nli edit kitambo...
Kwani uzi kafungua nani na ni nani kaanza kutaja Tz,
Punguza kukurupuka.
Anyway..asanteni sana leo kw kukubali km sgr yenu ni hewa mpka sasa...so msijilinganishe na sisi..ngojeni mradi uishe
 

Forum statistics

Threads 1,336,650
Members 512,670
Posts 32,546,775
Top