Ethiopian SGR the worst SGR experience ever.BBC news.9th september

K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
1,112
Points
2,000
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
1,112 2,000
Nimekwambia hv...kamalizeni ndio mregee..yani nynyi jamaa hamjielewi..mmapiga kelele na vitu vyenye hamjui vitaisha lini na wala vitakuaje...

Watamzania bana...jf sio kijiweini...
Unaropoka sana kanywe supu ukate gongo.
 
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Messages
3,069
Points
2,000
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2017
3,069 2,000
Mimi siwezi. Wewe unaweza?
Siwezi. Ulikuwa unaongea ukisema 'nyinyi' badala ya kusema 'sisi' hatuwezi unda. Nilikuwa nakukumbusha kuwa wewe pia ni mwafrika kama sisi.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
65,982
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
65,982 2,000
Siwezi. Ulikuwa unaongea ukisema 'nyinyi' badala ya kusema 'sisi' hatuwezi unda. Nilikuwa nakukumbusha kuwa wewe pia ni mwafrika kama sisi.
Sawa.

Tinachobishania hapa nini?
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
65,982
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
65,982 2,000
Wacha yaishe.
Kubali tu. Ni ujinga tu kubishana eti train ya nani nzuri wakati kila mtu kanunua kwa namna zake na mahitaji yake.

Ningewaona wa maana mngekuwa mnabishania trains mnazounda wenyewe.

Pambaff kabisa.
 
Oii

Oii

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Messages
2,854
Points
2,000
Oii

Oii

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2017
2,854 2,000
Kubali tu. Ni ujinga tu kubishana eti train ya nani nzuri wakati kila mtu kanunua kwa namna zake na mahitaji yake.

Ningewaona wa maana mngekuwa mnabishania trains mnazounda wenyewe.

Pambaff kabisa.
Mamalai unakuwaga na kisirani, nn shida huwaga kwani, umeolewa?
 
Forum statistics

Threads 1,336,643
Members 512,670
Posts 32,546,337
Top