Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,010
- 9,875
Ukame mkali wa mara kwa mara unaoikumba nchi ya Ethiopia umepelekea watu takribani milioni 7 kuhitaji msaada wa chakula.
Baraza la uratibu wa majanga nchini Ethiopia limearifu kwamba watu milioni 7 katika nchi hiyo wanahitaji msaada utakaogharimu dola bilioni 1.
Katika taarifa hiyo iliarifiwa kwamba mabadiliko ya tabia nchi na hali ya ukame wa mara kwa mara umeathiri vibaya uchumi na maisha ya watu.