Ethiopia wafunga mitambo ya kuzalisha umeme kwa upepo!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
SERIKALI YETU MBONA HAILIFIKIRII HILO NA WAKATI UPEPO NI KITU KISICHO NA GHARAMA?TENA NI SYSTEM YA KUDUMU mradi wa kina mwakyembe singida umefikia wapi?
 
System ya kudumu iliiweje? Please wacha kabisa mpango wako huo, hii ni afrika si ulaya na marekani
 
System ya kudumu iliiweje? Please wacha kabisa mpango wako huo, hii ni afrika si ulaya na marekani

Hapa kidogo sikufahamu, ni Afrika kwa sababu Waafrika hatuwezi kuendesha mitambo ya umeme wa upepo au kwa sababu upepo wa Afrika haufai kutoa umeme, au kwa sababu Waafrika ni wachakachuaji?
Kwa kadiri ya ufahamu wangu, sehemu yoyote ya miinuko au tambarare sana miradi hii inatekelezwa. Kuna kampuni fulani, IBERDOLA, tayari ina miradi hiyo Ulaya, Amerika, Morocco na katika jangwa la Sahara- Afrika. Kinachotakiwa ni utekelezaji na ufuatiliaji.
 
SERIKALI YETU MBONA HAILIFIKIRII HILO NA WAKATI UPEPO NI KITU KISICHO NA GHARAMA?TENA NI SYSTEM YA KUDUMU mradi wa kina mwakyembe singida umefikia wapi?

si mradi wa akina mwakyembe, sema ufisadi wa akina mwakyembe. acha double standard mkuu.
 
Back
Top Bottom