Ethiopia hiyoooo

Mkuu hebu tuambie hivi wenyewe umeme wa uhakika kweli???
 
Picha ya kwanza kutoka chini, wamejitahidi sana
 
Hizi vitu hazitaki eti sijui maji yamepungua mtera kwa hio umeme wa mgao au sijui mitambo ya songasi inasafishwa kwa hiyo itazimwa jiandaeni kwa mgao
 
Sijui kwa nini Waethiopia wengi kila kukicha wanakimbia nchi yao!!!
 
Hapo juu kwa kweli wametuzidi miundo mbinu
 
kama private air plane ya mtu fulani,kumbe ndege ya taifa
Alafu wamekodi .....Hivi kuna yule gavana wa benki kuu alisema ukitaka kujua fedha halali ni lazima ichuje rangi
 
wacha wajenge nchi yao mkuu,zenawi alikuwa mpiganaji wa ukweli,wapi JK na ukoo wake,wao wanafikiri kuuza sembe ili ukoo usiwe maskini,maendeleo huwa afikirii kabisa
honereni ethiopia
 
ukitaka ugomvi na serikali ya ccm ongelea suala la ujenzi wa reli.kwanza utaliongelea kwenye kikao kipi?JK ana miliki maroli ya mizigo kupitia kwa ridhiwani,pinda naye ana miliki maroli.magufuli naye ana miliki maroli
SERA YA CCM NI KUHAKIKISHA RELI AIBORESHWI ILI MAROLI YAO YAPATE TENDA YAWEZE KUHARIBU BARABARA
 
jk bora umalize muda wako wa uongozi maana tumeshakuchoka jaani kila siku kushinda kuzurula ulaya uoni vitu vya kutuletea maendeleo umekalia kuomba misaada kama matonya
shame on you JK
 
hiki ndicho anaweza baba yake RIDHIWANI






  • Retweets 2 Favorite 1

8:09 AM - 12
 
NDIO anacho kiweza JK
MAJANGILI anawajua kwanini awakamati?na RIDHIWANI ndiye muhusika mkuu,kuna mtu alinidokezea kuwa huko selou ndio ridhiwani ameweka vijana wake wawe wanamkusanyia mzigo.
meno ya tembo kwa ni uongo?
 
Me naomba kuuliza tu mbona raia wa ethiopia wanakimbia nchi yao wanakufa kama wanyama safarini kwenda south africa.

Bora Tanzania raia hawakimbii nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…