always am a Winner
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 230
- 193
Hebu fafanua mkuu, ni moto upi huo?Najua wengi wanaogopa kuongea ukweli, moto unaoongelewa hapa si huu maana kule huendi na mwili..
Eternal separation from your creator is an excruciating ordeal for your consiousness/soul as fire is for the physical bodyHebu fafanua mkuu, ni moto upi huo?
Hebu fafanua mkuu, ni moto upi huo?
kwahiyo huo ndo ufafanuzi?Mbingun hakuna moto!
Mbona vitabu havijasema hilo, vyenyewe viongelea the real fire. Moto huu huu tunaoujua. Sema tu utakuwa mkali zaidi. Kulikuwa na sababu gani ya kutaja moto kama ishu ni eternal separation from your creator si wangesema tu waziwazi?Eternal separation from your creator is an excruciating ordeal for your consiousness/soul as fire is for the physical body
Sijaelewa unamjibu nani? Mimi au wachangiaji? Ni vyema wakati unajibu ukaquote comment unayoijibuMusa alikuta kijiti kinawaka moto lakini hakiteketei,ndio moto unao zungumziwa,moto unachomwa na kufa hufi..
Kasome vzr kaka utaelewa,hujasoma ndio maana unabisha usichokijua
Halafu ulimwengu una expand each day! Tena kwa spidi ya ajabuKama dunia inazunguka jua. Na jua linazungukw na sayari zngne kubw kuliko dunia, kama jua ni nyota na kuna nyota zngne nyng zaid kwa idad isiyohesabika na zote hizo znasayari zake . Then vyote hivyo vmeumbwa na Mungu how so special we are to be concerned by God ... Myb tunajipag vtsho bure tu ila Mungu pngn hayupo km tunavyofkr au Mungu tunayemjua anamwingine mkubwa zaid yake aliyempa sehemu fulan aitawale. Najarb kuwaz tu but am not sure Mungu sahih ni yupi
Kuna mtu alikufa akafufuka na kuhadithia ile hisia aliyoipata ya kutengana na muumba wake huko jehanam. Hapakuwa na moto, bali ule utengano ulikuwa unaumiza kuliko kitu chochote unachoweza kukihisi in the physical world, alipopita 'mhusika' wa hiyo Jehanam mtu huyo aliyetengwa na muumba wake alilia kwa nguvu sana na kuita "Mungu wangu..!", "Mungu wangu...!", "Mungu wangu..!", aliita hivyo kwa mara ya idadi ambayo hata yeye hawezi kuhesabu, maana aliamini yule anaepita angeweza kumuondosha mahali pale.., na ghafla alirudi duniani...Mbona vitabu havijasema hilo, vyenyewe viongelea the real fire. Moto huu huu tunaoujua. Sema tu utakuwa mkali zaidi. Kulikuwa na sababu gani ya kutaja moto kama ishu ni eternal separation from your creator si wangesema tu waziwazi?
Look!
Let's say unazaliwa katika familia ya wapagani (wasiojua Mungu) then unaishi maisha ya taabu na shida na vipindi vifupifupi vya raha.
Unaishi miaka kadhaa (labda 43) hivi, ukiwa umeelemewa na msongo wa mawazo unaotokana na matatizo mbalimbali, magonjwa na hussles. Then unakufa bila kujua au kusikia kuhusu Mungu (Au hata kama umesikia).
Then gafla kiti cha enzi kinatokea, juu yake yupo Mungu mwenye upendo wote, mwenye uwezo wote. Anakuhukumu moto wa milele na milele kwa makosa uliyofanya ukiishi hapa duniani (ambapo napo ulikuwa na baadhi ya wema). Moto usiozimika, unounguza mara dufu ya moto wa kawaida (kwa mujibu wa vitabu vya dini). Hivi hii kitu nyie mnaelewa logic yake?
Hata binadamu tu hatujawahi kuwa na kifungo cha gerezani cha milele, iweje Mungu awe na adhabu kali namna hiyo? Can anyone tell me? I just can't understand!
Nawasilisha!
Hapo kwenye red ni upotoshaji. Upagani haina maana ya kutomjua Mungu. According to the dictionary, paganism means "a person holding religious beliefs other than those of the main world religions." Neno hilo lilitumika na Wakristo miaka ya mwanzo wa Ukristo kuwaelezea watu ambao walikuwa wanafuata dini ambazo sio Ukristo. Ni sawa na Waislamu sasa hivi wanavyowaita watu wasio Waislamu "Makafiri".